Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

Naona wengi mnawaza tofauti na mimi....mi niliwaza huenda amerudishwa kwenye hiyo wizara ili ajibu vizuri hoja za report ya CAG itakapofikishwa bungeni
Yaan Jenista anajua kujibu hoja vizuri? Hauko serious wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaoga mzizi wa mninga uliochanganywa na mzizi wa mkuyu,akachinjiwa kondoo mweusi.Mkojani hapindui ufundi wa Jenista!
Afu mwaka 2020 alifanyiwa tambiko na zindiko milima ya chihangi, pale Namatuhi.

Mama mlozi huyuuu, khaaaah
 
Huyu hajawahi kuweza popote, mpaka kuna kipindi nafikiri ni chakula cha Mtu Fulani.
Ndyoo ni chakula yake tangu akiwa kwenye kitiii. Na hawaachani hawa, si ilitokea ugomvi na yule mama wa UWT mkoa, wakati wa ile ziara yake mzee wa kiti, kabla hajaondokaa jumla kukalia kiti
Umeelewa.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo:

Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Amemteua Bw. George Boniface Simbachawene (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Simbachawene anachukua nafasi ya Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb). Kabla ya uteuzi huo Mhe. Simbachawene alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu).

Uteuzi huu umeanza tarehe 01 Aprili, 2023.

Mawaziri wateule wataapishwa tarehe 02 Aprili, 2023 saa 3 asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

View attachment 2573265
Huko kuapishwa si walishaapa kwa hizo nafasi huko nyuma?
 
Nasikia ....anaua waliomzunguka
Mumewe
Mzazi
Mdogo ake
Binamu yake.

Hawa wote kawaua, na ikitokea kuna mgombea anashindana nae ana mloga,

Kwa Joseph alishindwaa, alirudishwa yeye alianguka chooni, mshike mshike ndo wakaamua kugawana jimbo, Joseph akachukua Madaba, yeye akabaki Peramiho.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana muogopa mno Joseph. Lol
 
Daàaà Hapana aseee siwezi bora kuwa masikini....
 
Na huku jimboni, wananchi wamemuambia agombee hadi achoke yeye, tena atafute wa kumuachiaaa.

Wangoni tumepatwaaaa wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mngoni kumbe basi utakuwa mrembo hasaa [emoji28]
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo:

Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Amemteua Bw. George Boniface Simbachawene (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Simbachawene anachukua nafasi ya Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb). Kabla ya uteuzi huo Mhe. Simbachawene alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu).

Uteuzi huu umeanza tarehe 01 Aprili, 2023.

Mawaziri wateule wataapishwa tarehe 02 Aprili, 2023 saa 3 asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

View attachment 2573265
Nyie mnaweza chukulia masihara kumbe mwenzenu kesharogwa hata hajui anachokifanya masikini.
 
Rais unahamisha hamisha sana watapataje experience yakazi?
aliyeiwezeaga utumishi niyule ulompelekaga michezo... simbachawene mpe wizara yenye uchawa flani utampenda lkn utumishi nibure kabisaaa!!!
Sjui simbachawene mnampendeaga nini yule alosema pesa siozetu wakati tunaibiwa!!
 
20230402_133842.jpg
 
Back
Top Bottom