Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Kidumu chama cha mapinduzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka kutukomesha mana tunachonga sana midomo mitandaoniLeo nimeweka voucher ya jero kama kawaida yangu kifurushi cha jero ni mb 500 nifungue Sasa Menu nijiunge nakuta mambo kama ifuatavyo .....
Sasa hii ni kukomoanaView attachment 1740253
Au ni ujanja wa TTCL ili waje wayapiku makampuni ya simuHii yote ni hawa TCRA (if it ain't broken why try to Fix it) ?
Bei elekezi bei elekezi...., wanashindwa nini kutengeneza kampuni yao (TTCL) na kushusha bundles tuone kama wengine hawatashusha..., kazi yao kuelekeza tu na sio kujaribu kufanya...
Tunajifanya soko huria wakati hawa jamaa ndio sometimes wanafanya bei ziende juu sababu ya makato yao..., Bure Kabisa hawa jamaa inabidi kila mwaka tuwe tunawachunguza wameleta tija gani kwa taifa kwa mwaka
Lakini waziri mwenye dhamana (Ndugulile) si alishasema atakaa na kampuni za simu wafanye mapitio ya bei za bundles?! Ndo keshakaa nao tayari, na hayo ndo matokeo ya makubaliana yao! Mi mwenzenu hapa nasubiri mambo matamu tu manake leo asubuhi asubuhi TTCL wamenitumia message kuniambia kesho naanza ku-enjoy vifurushi vipya!
Shida yao wanapatikana mijini tu, ukiwa maeneo ya ndani ndani hamna kitu unaweza fanya#RudiNyumbaniKumenoga
Mtandao gani huuLeo nimeweka voucher ya jero kama kawaida yangu kifurushi cha jero ni mb 500 nifungue Sasa Menu nijiunge nakuta mambo kama ifuatavyo .....
Sasa hii ni kukomoanaView attachment 1740253
Huu mtandao gan?
1Apk ya freebasics ina MB ngapi?
Kabisa mkuuTCRA eneo mnalotaka tuishi ni eneo kandamizi na bahati mbaya nyinyi ndio wachoraji wa hii ramani
View attachment 1740296View attachment 1740294
Kabisa aise.Kaa kimya tu mkuu.
Au weka hata kiemoji
Halotel hawajabana sana.Halotel tushanyooshwa
Menu gani?Halotel hawajabana sana.
Maana 1500 unapata gb 1 na mb 500 za kuingia youtube wiki nzima.
*148*55#Menu gani?
Sitashangaa 1Gb kwa 2000Tsh
Hakuna pa kukimbilia mkuu hata tigo naangalia hapa GB 1 ni 3000Kuanzia Leo Halotel naweka kushoto
Maniner zao ningejua jana ningejivika mabomu nijiunge cha mwezi😬