Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Kumbe hawa ndio walikuwa wanachana mabango ya wagombea wa vyama vingine especially CHADEMA.View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435
Mbona sioni " maendleo hayana vyama"????? Imekuaje tenaaAma kwa hakika tenda wema uende zako usingoje shukrani!
Wakenya , jamani tumshukuru sana Mungu kwa muujiza huu, wengine hulipa garama kubwa sana ya mateso na damu kwa miaka mingi kufikia hatua hii.Hivi mwasisi wa jina mwenda zake ni nani?
Tumshukuru Mungu kutunusuru, halafu kuna wajinga wachache walipenda atutawale maisha.Kuna bango moja linamnadi kama "MNYENYEKEVU" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
Yanafaa kwa siling'ibodi, yako poa sana.We unataka mabango ya Chagua Magufuli uyafanyie nini,?
nimewashauri moderator waache watu wateme nyongo kuhusu mwendazake, hawataki.Mods mna kazi, maana kila mwenye takataka yake anakuja kuitupa huku
Ulitaka wasemeje?leo ndio mnasema hivi siyo ?
Mkuu,View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435
Maisha ni fumboila inasikitisha kiukweli, hivi huyu ndio yule wiki tatu nyuma alikua anaamrisha chochote kile? duuh!
Nilijua tu kuna watu wakiona hii clip watapandisha mashetani upya 😁Mods mna kazi, maana kila mwenye takataka yake anakuja kuitupa huku
Kwanini lakini Mr Q🤣🤣🤣🤣Kuna wakati unakuwa na akili tofauti na huyu binti Jane Lowassa