Mabango yenye picha za Hayati Magufuli yaanza kuondolewa barabarani na kwenye ofisi za chama

Mabango yenye picha za Hayati Magufuli yaanza kuondolewa barabarani na kwenye ofisi za chama

Kuna bango moja linamnadi kama "MNYENYEKEVU" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
Tumshukuru Mungu kutunusuru, halafu kuna wajinga wachache walipenda atutawale maisha.
 
Mods mna kazi, maana kila mwenye takataka yake anakuja kuitupa huku
nimewashauri moderator waache watu wateme nyongo kuhusu mwendazake, hawataki.

matokeo yake kila wakati wanalazimika kufuta nyuzi mpya na comment zinazohusu maovu yake.
 
Kuna washenzi wakiona hii clip wataanza kulia tena kwa uchungu 😄😄

Ila maisha kitu ya ajabu sana! Juzi tu mara hii historia imeshabadilika kabisa
 
View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .

View attachment 1742435
Mkuu,
Hakuna namna nzuri ya kuyaondoa mabango ya hayati, Kuna sababu nyingi but nitaainisha chache kama ifuatavyo,
1) Uchaguzi ulishaisha, na hayati alifanya alichofanya kubaki madarakani.
2) Kwa aina ya uchaguzi tuliokua nao hakukua hata na haja ya mambango hayo,
3) Hayatokuja kutumika hata baadae (recycling) sababu Hayati kashaenda zake,
4) Wana Mabango mengi ya kutoa so inabidi wafanye haraka,
5) Kipindi walicholipiwa kimeshapita, inabidi yaje ya kitu kingine
 
Back
Top Bottom