Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Kumbe hawa ndio walikuwa wanachana mabango ya wagombea wa vyama vingine especially CHADEMA.View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435