Hizi ndiyo silika za viongozi wetu.
Hawana uchungu na nchi.
Serikali zao zimesheheni ndugu zao.
Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi.
Viongozi hawa hawaaminiki.
Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika.
Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria zitatuvusha.