Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauoni kizimkazi watu wanatumia?Serikali gani? Hii ya mama Abdul? Abdul atakosekana na mabunda kama haya nyumbani?
Kama Zanzibar tu. Kilichopo huko ni kiinimacho. 2025 msimu wa uchaguzi yatajirudia ya 1995, 2000 endelea hadi 2020.Imedhihirika kuwa CCM hawataki maridhiano, bali wanafanya Hadaa ili watawale bila pressure. Machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatafungua ukurasa mpya wa kiutawala hapa nchini. Yale maridhiano toka awali tulijua ni utapeli kama utapeli mwingine.
Mtu kama huyu utamwambiaje kuhusu Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguziHizi ndiyo silika za viongozi wetu.
View attachment 2735766
Hawana uchungu na nchi.
Serikali zao zimesheheni ndugu zao.
Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi.
Viongozi hawa hawaaminiki.
Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika.
Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria zitatuvusha.
Hapana Mheshimiwa. Mimi nimeongea kwa ujumla wake.Unataka kusema na wa kwetu naye tabia zake zinaendana na hao wengine majizi?
Sjataja mtu yaheee,Marehemu. Husitiriwa
Unashangaa mtu anajilimbikizia mali nyingi kweli kweli huku ana uhakika wa kulipwa mamilioni ya pesa kila mwezi na Serikali na matibabu na marupurupu kibao mpaka atakapoiaga dunia !!Marais wa Afrika sijui wamerogwa na nani!! Maana tabia na mienendo yao inafanana kwa kila kitu.
Umenena ! Mindset zetu ndivyo zilivyo ! Hii ni hasara kubwa sana kwetu !!Hakuna aliyewaroga...
Viongozi wanatokea miongoni mwetu, hivyo tabia kama za uizi, udokozi, kutoridhika, ubinafsi n.k ni miongoni mwa tabia ambazo mwafrika huishi nazo, na huzionesha pale.anapopata nafasi ya kufanya hivyo...
Bongo hakuna wa kujifunza cz wanajiamin to the fullest kitu ambacho huja kugeuka bila kutarajia!!
Iko wazi hakuna cha kujifunza maana watanzania always imekua kauli “tujifunze” wapii! Kila siku madudu yanatamalaki!
UzushiHata pale makao makuu ya wilaya si zilipatikana? Ziko wapi, hivi huwa wanazipelekaga wapi?
Na huu pia utakua uzushi basiUzushi
Samia alitoa 5M kwa kila goli , je alizitoa wap zile ela , iwapo ipo round Simba alimchakaza mtu goli 7 i.e 35M ambayo ni zaid ya mshahara wake rais , je kipi kilikuwa chanzo cha malipo yale bila kusahau alidhamin mashindano ya quran ( inahisiwa alitoa kati ya 25M ( sina hakika)) , je haya yote hayahakisi ya bwana MpinduliwaHizi ndiyo silika za viongozi wetu.
View attachment 2735766
Hawana uchungu na nchi.
Serikali zao zimesheheni ndugu zao.
Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi.
Viongozi hawa hawaaminiki.
Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika.
Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria zitatuvusha.