Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

Gabon katiba mpya ndio imewezesha hayo mafurushi kukamatwa?!
sasa mnafanana attitude na wamagharibi? angalia mkataba wa bandar mmeoneshwa mapunguf yake ila mmelala kbs hamtak shiriki kuikosoa serikal
 
Yule alisemaga wapo wengine hapa nyumbani wameweka kwny kontainers alikua mkweli. Ingawa tulimbeza sana na kumtukana lakini this is Africa. Mambo yale yale
 
Hizi ndiyo silika za viongozi wetu.

View attachment 2735766

Hawana uchungu na nchi.

Serikali zao zimesheheni ndugu zao.

Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi.

Viongozi hawa hawaaminiki.

Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika.

Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria zitatuvusha.
Propaganda za Nguema ,wamegombana ndugu.

Ona alivyo fisadi huyo Jamaa yenu.Wajinga ndio Waliwao

View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1698292287195795872?t=lCuyPLx-GeHTW3N3RDDabQ&s=19
 
Hata kwetu wangeenda angalia kwa marehemu wangekuta
isingekuwa siri kama wanaeza sema mita za 27000Tsh tulichezewa ila tulistahiri kulipa 300k Tsh , wanashindwaj kuiweka waz kuua legacy yake ?
 
Vyombo gani huru vinaweza thibitisha? Hizi ni propaganda za Wajeshi kuhalalisha upuuzi wao.

Msisahau Kuna mabegi ya mabilioni yalikutwa Kwa Marehemu Mwendazake
uliisikia wap hii? mzee wa watu hana hata bar , kwann msiwazungumzie wez wanaotak iuza bandar kwa njaa zao
 
Sema Ni ulafii wa hali wa hali ya juuu Angewekaa bank yoyoteeza huko njeee kikiwakaa anatambaa mbeleee...
 
Hakuna raisi anayekosa mabegi ya hela nyumbani kwake.
Wewe kutokana na kipato chako kidogo unatumia wallet. Ila kikiongezeka, na wewe utaanza kuweka pesa kwenye mabegi na utaona ni jambo la kawaida kabisa...
 
Ati kupata au kuweka Katiba mpya itatatua na itazuia utoaji na upokeaji Rushwa! Mbula. Ikiwa mpaka miaka hii, tena baada ya miaka elfu na maelfu ya kupokea amri za mungu, bado Watu wanaiba, wanaua wanazini n.k ikiwa ina maana tumeshindwa kufuata sheria hizo, ndio tuseme tutaja fuata sheria za Mwanadamu?Katiba? Kweli?

Haya, tuendelee kujifariji kwa kujidhalilisha, kudanganyana, na kukebeheana kana kwamba tuna masuluhisho hapa.

Tuache tabia ya kujidhalilisha, ya kunyosheana vidole kusengenyana na kuzodoana , tuanze na kuheshimu na kuenzi Amri za Mungu, nadhani itakuwa rahisi, hata kuiogopa Katiba na sheria hizi hizi zilizopo kupunguza na hata kutokomeza hilo dudu rushwa
 
Back
Top Bottom