Strong Durable
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 474
- 700
Mtu mweusi Kuna Kitu Alimkosea MuumbaDuh...!!
Hata humu kwetu, kwa huu ukata wa dola...nashauli serkali ibadilishe muundo wa noti ya elf10 na elf5. Zitengenezwe za muundo mpya.Wenye nazo za zamani wazibadilishe ndani ya miezi mitatu tu.
Nakuhakikishia kuna viongozi wataumbuka.
Mtu anajaza hela chumba kizima, wakati mtu huyu anafanyiwa kila kitu, kula, kulala, kuvaa, watoto kusoma..kila kitu anafanyiwa kwenye maisha yake..lakini bado anajaza hela chumba kizima.
Hapo ndio ujue mtu mweusi alivyo.ni tatizo kubwa sana hili.
Na hata hao unaowaona hapo wanajifanya wazalendo kwa kuonesha hizo picha.wakimaliza mwaka kwenye madalaka, ukienda kuwasachi usishangae ukawakuta wana magunia ya noti ndani kuzidi hizo