Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hizi ndiyo silika za viongozi wetu.

Your browser is not able to display this video.


Hawana uchungu na nchi.

Serikali zao zimesheheni ndugu zao.

Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi.

Viongozi hawa hawaaminiki.

Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika.

Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria zitatuvusha.
 
Duh 🙄😱
 
Duh...!!

Hata humu kwetu, kwa huu ukata wa dola...nashauli serkali ibadilishe muundo wa noti ya elf10 na elf5. Zitengenezwe za muundo mpya.Wenye nazo za zamani wazibadilishe ndani ya miezi mitatu tu.

Nakuhakikishia kuna viongozi wataumbuka.

Mtu anajaza hela chumba kizima, wakati mtu huyu anafanyiwa kila kitu, kula, kulala, kuvaa, watoto kusoma..kila kitu anafanyiwa kwenye maisha yake..lakini bado anajaza hela chumba kizima.
Hapo ndio ujue mtu mweusi alivyo.ni tatizo kubwa sana hili.

Na hata hao unaowaona hapo wanajifanya wazalendo kwa kuonesha hizo picha.wakimaliza mwaka kwenye madalaka, ukienda kuwasachi usishangae ukawakuta wana magunia ya noti ndani kuzidi hizo.
 
Bongo hakuna wa kujifunza cz wanajiamin to the fullest kitu ambacho huja kugeuka bila kutarajia!!
 
Hayo mambo ya kizamani sana, siku hizi watu wanaekaga dola tu
Za madafu huwezi kuzikuta hata siku moja, labda zibadilishwe dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…