Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

Mtu mweusi Kuna Kitu Alimkosea Muumba
 
Ccm wajifunze huko Gabon wakubali uchaguzi uwe huru ili nchi ipumue sio kupita bila kupingwa
 
Bila ya kuwa na mabegi ya pesa nyumbani wanawezaje kusema rais ametoabilioni moja kwa ujenzi wa kabomba ka maji kijijini Msoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…