Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hata mimi wamenitumia, cha ajabu makato ya kila muamala ni makubwa sana mfano juzi nilituma 200000 toka nmb kwenda airtel wamekata 7000 halafu wanakuja na ishu ya tozo tenaWatu wameanza kuletewa meseji kwenye simu kuhusu tozo wanazotozwa pindi wakifanya miamala ya kibenki.
Naona serikali imeamua sasa kutwaa fedha za wananchi kupitia tozo.
Sasa kinachofanyika, wananchi wanailipa serikali kodi za kawaida kama vile VAT n.k, halafu inakuja on top of that inakwangua pesa za watu kwa jina la tozo
Kwa kwenli tozo ni kama unyang'anyi wa wazi.
Mfano wa meseji ambao watu wanapata ni
Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Chichiemu hawaogopi tena chaguzi.Hizi kodi za mshikamano mimi nataka mama aziongeze kila sehemu, hawa watu wakikamuliwa vizuri kwenye chaguzi akili zitaanza kuamka!
Hata vyawa mmeguswa?!
Wananchi wangekuwa macho hizo sheria wanasiasa wasingepitisha. Au wangezifuta kwa lazima. Lakini watanzania ni maitiWanasiasa ndo wazandiki, raia hawana cha kujitetea maana sheria zimepitishwa na walisiojali wananchi wao
Wananchi wangekuwa macho hizo sheria wanasiasa wasingepitisha. Au wangezifuta kwa lazima. Lakini watanzania ni maiti
Double taxation ni kukomoanaTulipe kodi kwa maendeleo ya Taifa.
Hizi kodi za mshikamano mimi nataka mama aziongeze kila sehemu, hawa watu wakikamuliwa vizuri kwenye chaguzi akili zitaanza kuamka!
Mimi sina account hila ninasikitikia watanzania wenzangu wenye account na mabenki ya tanzania.
Nani kakuambia hatulipi kodi? Huu ni unyang'anyi! Chukueni lakini tunahesabu kuwa ni unyang'anyi!!Tulipe kodi kwa maendeleo ya Taifa.
CHADEMA mlisema JPM akifa mtapata Uhuru nadhani hapa Mungu anawajibu kupitia Samia ,wanasema ukiomba mama wa kambo afe anakufa mamako na ndio unaipata fresh
Tulieni dawa iingie so mlitaka demokrasia ndio hii Sasa tena ya kiuchumi kizalendo
USSR
Ccm inapenda kuona siku zote raia wake hasa wa kipato cha chini wakiteseka!
Watu wameanza kuletewa meseji kwenye simu kuhusu tozo wanazotozwa pindi wakifanya miamala ya kibenki.
Naona serikali imeamua sasa kutwaa fedha za wananchi kupitia tozo.
Sasa kinachofanyika, wananchi wanailipa serikali kodi za kawaida kama vile VAT n.k, halafu inakuja on top of that inakwangua pesa za watu kwa jina la tozo
Kwa kwenli tozo ni kama unyang'anyi wa wazi.
Mfano wa meseji ambao watu wanapata ni
Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Kwa hiyo kodi ya majengo wanatozwa chadema, tozo za miamala ya simu wanatozwa chadema na tozo za miamala ya mabenki wanatozwa chadema na sio wananchi au sio!? Hili uliloandika linaakisi kiasi gani wewe ni punguani.CHADEMA mlisema JPM akifa mtapata Uhuru nadhani hapa Mungu anawajibu kupitia Samia ,wanasema ukiomba mama wa kambo afe anakufa mamako na ndio unaipata fresh
Tulieni dawa iingie so mlitaka demokrasia ndio hii Sasa tena ya kiuchumi kizalendo
USSR
Hata kama ni hivyo, baco ni unyang'anyi maana hiyo ni modality tu ya mhusika kuchukua pesa yake!! Vinginevyo unamlazimisha aende ATM yamkini kwa mazingira yake hiyo itamgharimu pesa nyingi zaidi na muda zaidi!!Mtoa Mada ameminya taarifa Kwa Makusudi au kwa umbumbumbu wa kutojua hivyo wachangiaji wengi kupotoshwa.
Ifahamike kwamba tozo za miamala ya simu zinatumika Kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine, lakini pia zinatumika Kutoka bank kwenda kwenye akaunti za simu
Hivyo makato ya tozo ya bank ni Yale yanayohusisha bank -simu na si vinginevyo.
Tulipe Kodi tupate haki ya kukosoa, kulaumu, kupayuka na kuandamana ikibidi