Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Walisema wapi?CHADEMA mlisema JPM akifa mtapata Uhuru nadhani hapa Mungu anawajibu kupitia Samia ,wanasema ukiomba mama wa kambo afe anakufa mamako na ndio unaipata fresh
Tulieni dawa iingie so mlitaka demokrasia ndio hii Sasa tena ya kiuchumi kizalendo
USSR
Kwani matajiri hawana account za benk ?Magu alikusanya pesa toka kwa matajiri, tulimsema sana. Mama amewaacha matajiri wanakula ubwabwa kwa mrija, masikini ishakuwa zamu yetu.
Futseke zao hovyo kabisa.
Nani kakuambia hatulipi kodi? Huu ni unyang'anyi! Chukueni lakini tunahesabu kuwa ni unyang'anyi!!
Hata ukipigia maiti, mwisho wa siku mshindi anatangazwa CCM.Kura yangu walaah ccm hawapati Tena Bora nikapigie mbuzi kura kuliko ccm hii
Unfortunstely kura yako doesn't matter. Wanatangaza yeyote wamtakaye kibabeKura yangu walaah ccm hawapati Tena Bora nikapigie mbuzi kura kuliko ccm hii
Huo ni uharamia mkubwa tunaofanyiwa na Serikali ya Chifu HangayaWatu wameanza kuletewa meseji kwenye simu kuhusu tozo wanazotozwa pindi wakifanya miamala ya kibenki.
Naona serikali imeamua sasa kutwaa fedha za wananchi kupitia tozo.
Sasa kinachofanyika, wananchi wanailipa serikali kodi za kawaida kama vile VAT n.k, halafu inakuja on top of that inakwangua pesa za watu kwa jina la tozo
Kwa kwenli tozo ni kama unyang'anyi wa wazi.
Mfano wa meseji ambao watu wanapata ni
Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Eeh naomba tuendelee kumtukana mwendazake vizuri sasa! π Mama anaupiga mwingi mnoHuu ni uhuni uliopitiliza kiwango
Eeh Tozo ya Cha Asubuhiπ jiandaeni bwana lameki anayajenga na wabunge wapitishe muswaada na hatimae bi mkubwa akisaini muweze kuletewa meter maalumu za kulipia tozo ya penzi!Kamshahara ninakolipwa na mhindi kanakatwa kodi, benki kanakutana na tozo, nikituma kwa wazazi kijijini nakutana na tozo, nikinunua umeme tozo, kila kona tozo, sasa nasikia kuna tozo mpya inakuja kila tulalapo na wake zetu.
Mlipe tozo jamani kwa maendeleo yenu! Bwana yule alipopora matajiri hela walizoiba na kukwepa kodi kwa miaka mingi mlimuona chizi mkaishia kufurahia kifo chake sasa huyu mrithi ameamua kupora maskini sasa!πHuo ni uharamia mkubwa tunaofanyiwa na Serikali ya Chifu Hangaya
Umesema ?πKura yangu walaah ccm hawapati Tena Bora nikapigie mbuzi kura kuliko ccm hii
Ambaye hakutaka mteseke si mlishabikia kifo chake πππ?!Ccm inapenda kuona siku zote raia wake hasa wa kipato cha chini wakiteseka!
Watu watagawana hela kwenye ma V8 awamu hii! Hizo billion 50 kwa mwezi ni hela ndogo sana compared na inayokusanywa kwa uhakika!Hizi 'tozo' limekuwa jambo.
Hela ya namna hii ndiyo huliwa na wajanja bila ya jasho kabisa.
Hizi tozo zilisemwa mwanzo kabisa kwamba zitajenga madarasa na zahanati; pesa ya IMF ilipokuja habari ikaendelea kuwa hiyo hiyo kujenga vitu vilevile. Sasa watu watapumbazwa, mwisho wa siku wataambiwa hela yote ilitumika ilivyopaswa kutumika, kumbe 'tozo' imepitishwa pembeni!
Wewe kwa jibu Hilo umetumia ubongo?Huwa unatumia matako kufikiri?
Sheria ishaandaliwa sema wewe ndio huijui! Watakuwa wameshafanya amendments kwenye vifungu! Hivi vitu havitokei tokei tuInatozwa kwa sheria ipi!!?
Waendelee kukaza tu mpaka akili ziwarudie mashabiki mandazi! Ipo siku wabongo tutaelewana tu kuwa yule hayati alikuwa mwanaume wa shoka!Tozo kwenye hela zetu ni dhulma kuna sehemu nyingi ambazo wanaweza kupata kodi ila sio tozo maana tozo ni kuchukua hela ya mtu kibabe
Hata ukituma fedha toka akaunti moja ya Benki kwenda nyingine kwa kutumia simu (mobile banking) tozo ya serikali inahusikaMtoa Mada ameminya taarifa Kwa Makusudi au kwa umbumbumbu wa kutojua hivyo wachangiaji wengi kupotoshwa.
Ifahamike kwamba tozo za miamala ya simu zinatumika Kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine, lakini pia zinatumika Kutoka bank kwenda kwenye akaunti za simu
Hivyo makato ya tozo ya bank ni Yale yanayohusisha bank -simu na si vinginevyo.
Tulipe Kodi tupate haki ya kukosoa, kulaumu, kupayuka na kuandamana ikibidi
Na kesho samia akiifuta utakuja kukata viuno kama mwanamke na kumsifia kwa kuifutaKodi ya mshikamano
Ujerumani wao wamelipa miaka mingi huko nyuma
Kodi ya mshikamano kusaidia ukarabati katika majimbo mapya β DW β 26.10.2009
Baada ya kuangushwa kwa ukuta wa Berlin, Helmut Kohl ambae wakati huo alikuwa kansela wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani alitoa ahadi kuwa majimbo mapya yatafanyiwa ukarabati na kupewa sura mpya.www.dw.com
Sisi tunaona mambo haya ni mapya, ndio mshikamano huo, hakuna namna tulipe tuu..