Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

CHADEMA mlisema JPM akifa mtapata Uhuru nadhani hapa Mungu anawajibu kupitia Samia ,wanasema ukiomba mama wa kambo afe anakufa mamako na ndio unaipata fresh


Tulieni dawa iingie so mlitaka demokrasia ndio hii Sasa tena ya kiuchumi kizalendo

USSR
Walisema wapi?
Lete hio clip acha porojo
 
Serikali ya CCM imeshajivua ubinadamu na kuuvaa ushetani......hakuna tena tumaini chini ya utawala wa mashetani.......shetani hana huruma na mwanadamu zaidi kumkusudia maovu tu.....
 
Magu alikusanya pesa toka kwa matajiri, tulimsema sana. Mama amewaacha matajiri wanakula ubwabwa kwa mrija, masikini ishakuwa zamu yetu.

Futseke zao hovyo kabisa.
Kwani matajiri hawana account za benk ?
 
Kura yangu walaah ccm hawapati Tena Bora nikapigie mbuzi kura kuliko ccm hii
 
Kura yangu walaah ccm hawapati Tena Bora nikapigie mbuzi kura kuliko ccm hii
Hata ukipigia maiti, mwisho wa siku mshindi anatangazwa CCM.

Unadhani kwanini hawataki katiba mpya?
 
Watu wameanza kuletewa meseji kwenye simu kuhusu tozo wanazotozwa pindi wakifanya miamala ya kibenki.

Naona serikali imeamua sasa kutwaa fedha za wananchi kupitia tozo.

Sasa kinachofanyika, wananchi wanailipa serikali kodi za kawaida kama vile VAT n.k, halafu inakuja on top of that inakwangua pesa za watu kwa jina la tozo
Kwa kwenli tozo ni kama unyang'anyi wa wazi.

Mfano wa meseji ambao watu wanapata ni

Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Huo ni uharamia mkubwa tunaofanyiwa na Serikali ya Chifu Hangaya
 
Kamshahara ninakolipwa na mhindi kanakatwa kodi, benki kanakutana na tozo, nikituma kwa wazazi kijijini nakutana na tozo, nikinunua umeme tozo, kila kona tozo, sasa nasikia kuna tozo mpya inakuja kila tulalapo na wake zetu.
Eeh Tozo ya Cha Asubuhi😅 jiandaeni bwana lameki anayajenga na wabunge wapitishe muswaada na hatimae bi mkubwa akisaini muweze kuletewa meter maalumu za kulipia tozo ya penzi!
 
Huo ni uharamia mkubwa tunaofanyiwa na Serikali ya Chifu Hangaya
Mlipe tozo jamani kwa maendeleo yenu! Bwana yule alipopora matajiri hela walizoiba na kukwepa kodi kwa miaka mingi mlimuona chizi mkaishia kufurahia kifo chake sasa huyu mrithi ameamua kupora maskini sasa!😂

Jipigeni kifua museme mama anaupiga mwingi
 
Kura yangu walaah ccm hawapati Tena Bora nikapigie mbuzi kura kuliko ccm hii
Umesema ?🐒
IMG_20211018_091323.jpg
 
Ccm inapenda kuona siku zote raia wake hasa wa kipato cha chini wakiteseka!
Ambaye hakutaka mteseke si mlishabikia kifo chake 😀😀😀?!

Yeye aliwabana wenye hela kweli sio kajamba nani! Leo hii mfurahie matunda ya mrithi wake sasa ambaye anawabana kajamba nani na mikopo anayokopa kibao nje
 
Hizi 'tozo' limekuwa jambo.

Hela ya namna hii ndiyo huliwa na wajanja bila ya jasho kabisa.
Hizi tozo zilisemwa mwanzo kabisa kwamba zitajenga madarasa na zahanati; pesa ya IMF ilipokuja habari ikaendelea kuwa hiyo hiyo kujenga vitu vilevile. Sasa watu watapumbazwa, mwisho wa siku wataambiwa hela yote ilitumika ilivyopaswa kutumika, kumbe 'tozo' imepitishwa pembeni!
Watu watagawana hela kwenye ma V8 awamu hii! Hizo billion 50 kwa mwezi ni hela ndogo sana compared na inayokusanywa kwa uhakika!

Kama miamala ya mitandao yote inafika trillion 10 kwa mwezi. Hio complilation ya tozo haiwezi kuwa billion 50 yani! Ni pesa nyingi mno itakusanywa sio bil. 50 kama walivyodai!
 
Tozo kwenye hela zetu ni dhulma kuna sehemu nyingi ambazo wanaweza kupata kodi ila sio tozo maana tozo ni kuchukua hela ya mtu kibabe
Waendelee kukaza tu mpaka akili ziwarudie mashabiki mandazi! Ipo siku wabongo tutaelewana tu kuwa yule hayati alikuwa mwanaume wa shoka!
 
Mtoa Mada ameminya taarifa Kwa Makusudi au kwa umbumbumbu wa kutojua hivyo wachangiaji wengi kupotoshwa.
Ifahamike kwamba tozo za miamala ya simu zinatumika Kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine, lakini pia zinatumika Kutoka bank kwenda kwenye akaunti za simu

Hivyo makato ya tozo ya bank ni Yale yanayohusisha bank -simu na si vinginevyo.
Tulipe Kodi tupate haki ya kukosoa, kulaumu, kupayuka na kuandamana ikibidi
Hata ukituma fedha toka akaunti moja ya Benki kwenda nyingine kwa kutumia simu (mobile banking) tozo ya serikali inahusika
 
Kodi ya mshikamano

Ujerumani wao wamelipa miaka mingi huko nyuma


Sisi tunaona mambo haya ni mapya, ndio mshikamano huo, hakuna namna tulipe tuu..
Na kesho samia akiifuta utakuja kukata viuno kama mwanamke na kumsifia kwa kuifuta
 
Back
Top Bottom