Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Serikali imetupush to the limit

Any further push kwa kweli itabidi wajiandae kwa consequences. Hili halikubaliki

Serikali gani hii inafanya mambo bila weledi wala misingi ya utu namna hii!?

Hatutaki maendeleo kwa pesa za kudhulumu watu, hata Mwalimu alisema maendeleo ya hivyo hapana!
Inatosha sasa!
Mm nalipa Kodi zote za TRA, nalipa mapato ya halimashuri yote, nalipa ata fungu la kum nk, kinachobak naenda kukitunza benk saa nyingine naktuma benk kwa kupitia kwa wakala.

Nikifanya hivyo unanikata tozo kwa wakala. Badae ukisha kata tozo mm nakubali. Wewe bila huruma unaenda Tena benk kunikata Tena tozo..

Huo ni wiz na kwa lawama na manunguniko ya weng, hela hizo jasho letu, Mungu atazifanya iwe laana kwa familia zenu. Mmetuonea mno mno
 
Huyu bibi ni kumpiga chini 2025.. leo ametumia kiribia mil 500 kwa usafiri tuu toka kilimanjaro hadi arusha.. ndege, magari kama 50, helkppter etc..

Kumbe fedha zote hizi ni tozo za kuviziana[emoji1787][emoji28] NCHI INATABASAMU NA TOZO ZA MAMA
 
Pamoja na kutowapenda mabeberu hapo ndio nawaona angalau wanajali sababu haya makato ingekuwa ni majuu tayari benki zingeshtakiwa na hata serikali ingeshtakiwa, pia sielewi hii miamala wanaidhibiti vipi na sisi ''tuliokubali'' hiyo miamala tutajuaje kuwa hiki ndio kiasi kamili kilichotokana na tozo, sababu hizi tozo hazina base ya kuweza kujua kuwa A,B na Z wanatakiwa au wamelipa kiasi gani ni kama vile tunabahatisha tu, nasema tunabahatisha tu kwani serikali haijafanya makadirio sahihi kwa kila anayetumia hii miamala.
Itakuwa tuu imefanywa kama simu kwamba kiasi fulani Hadi fulani makato kadhaa ,hivyo yaani.

Lipa kodi Jenga nchi Yako hakuna mjomba wala beberu
 
2025 maamuzi ni yenu twende na serikali ya Tozo au mabadiliko... Tatizo hatujawahi kujitambua wala kuijua nguvu ya umma kila mtu anaiogopa serikali jeshi na mamlaka ilihali wao ndio wanaotutegemea kwa kulipa kodi na Tozo fungukeni acheni uzuzu
Tuko na ma Hadi 2035 ,tozo hajengei nyumba yake bali anajengea mahitaji ya Watanzania.

Ukiangalia kila sekta Saizi imepewa pesa mara 2 au zaidi ya hapo awali kuyekeleza maendeleo.Lipa kodi kuwa mzalendo.
 
Hivi hatuna wazalendo kuishtaki serikali kwa.huu uhalifu? Mimi hata sielewi tozo ina misingi ipi ya kisheria na kimaadili. Fikiria mfanyakazi ambaye amekwisha kulipa kodi, msingi wa tozo kwenye miamala anayofanya ni upi?
Wewe sio mzalendo unataka nani akushitakie Ili ule jasho lao? Acha upumbavu lipa kodi kuwa mzalendo.
 
Kuna mwenye Schedule ya haya Makato ? Kukatwa ni moja, na kukatwa bila kujua unakatwa ngapi na kwanini sio Poa....
 
Back
Top Bottom