Mm nalipa Kodi zote za TRA, nalipa mapato ya halimashuri yote, nalipa ata fungu la kum nk, kinachobak naenda kukitunza benk saa nyingine naktuma benk kwa kupitia kwa wakala.Serikali imetupush to the limit
Any further push kwa kweli itabidi wajiandae kwa consequences. Hili halikubaliki
Serikali gani hii inafanya mambo bila weledi wala misingi ya utu namna hii!?
Hatutaki maendeleo kwa pesa za kudhulumu watu, hata Mwalimu alisema maendeleo ya hivyo hapana!
Inatosha sasa!
Nikifanya hivyo unanikata tozo kwa wakala. Badae ukisha kata tozo mm nakubali. Wewe bila huruma unaenda Tena benk kunikata Tena tozo..
Huo ni wiz na kwa lawama na manunguniko ya weng, hela hizo jasho letu, Mungu atazifanya iwe laana kwa familia zenu. Mmetuonea mno mno