Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

Ndio maana nasema usitafute ushauri, it seems like una majibu yote

Lakini kama ni demu wa kumpa 10? Utagongewa hadi na bodaboda

Inawezaka humvutii,
 
Naendelea kusoma comments
 
Mwanamke akikufanyia Jambo lolote linalo kuvunjia heshima yako kama mwanaume basi achana nae hapo hapo. " Wapenzi kugombana ni kawaida waachie mabwege"
Hapana
 
I agree with you....[emoji115][emoji109]
 
Huyo mdada inaonekana anaamini anachoweza kuoffer kwako chenye thamani ni sex tu. Sasa anaweza kuendelea kukupelekesha hata baada ya hapo. Wanasumbuaga sana hawa I just hope sio mtu ambae umemweka moyoni sana kwa sababu naona umevumilia kutreatiwa hivi kwa muda sana
 
Moyoni kweli hayupo mkuu japo nampendaga mwenyewe nakomaa tu nile tunda nipite hivi maana sijalizika kumuacha hivyo hivyo.
 
Nawasalimia.

Maana huu uzi naufungua nasoma mstari mmoja ahalafu nasepa

Sijui hata kwa nini
 
Mapenzi yanasumbua wengi ila mimi nangoja amalize chuo mwezi huu afanye nimle kama alivyo sema, akialibu ntampa matokeo ya kibingwa mimi tena[emoji16][emoji16] hata sahau mpaka kufa
According to BONGOS CURRICULUM hakuna watu wanahitimu vyuo mwezi wa tatu .
Iwe university au college .

I THINK UMEDANGANYWA HATA MDA AMBAO ATAHITIMU CHUO .
n.b STUKA MY NIGGAH.

NARUDIA: ACCORDING TO TANZANIA EDUCATION CURRICULUM OR SYSTEM OF ED: HAKUNA WATU WANAMALIZA CHUO MWEZI HUU .

sawa mwanangu?
Umenielewa?
Acha mambo Yako bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…