Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Ndio maana nasema usitafute ushauri, it seems like una majibu yoteMkuu hela nampa sana hizi elfu sabasaba ten ten kibao lakini wapi, ikafika mahala akaniambia nisimpe hela kiasi hicho niwe nasubili akiniomba maana yeye aamini katika pesa bali anaamini katika upendo wa kweli na mpaka sasa anaomba pesa kidogo sana[emoji848] tena mara moja moja
Alishaumizwa sana kwenye mapenzi nazani ndio mana anakua mzito kuufungua moyo wake kwangu japo naona mabadiliko tofauti na tulivyo anza kwakweli ananikibali sana sijui tatizo ni nini[emoji3064]
Lakini kama ni demu wa kumpa 10? Utagongewa hadi na bodaboda
Inawezaka humvutii,