Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

haya mahoteli ya kitalii yaliyopo CHATO yanayojaza watalii ni ya nini?

 
Ungeniambia Kahama ningekuelewa kidogo
As soon as option ya kusafiri kwa ndege inakuwepo, wengi waliokuwa wanalazimika kupanda bus kwenda Kahama na maeneo jirani wanaweza kushawishika kuruka na pipa mpaka Chato then wasafiri na barabara

Ule uwanja lazima tuutafutie matumizi tu hata ikibidi kurusha ndege kwa gharama nafuu sana ili wakulima na wafanyakazi wa kawaida waweze kumudu😎
 
Na sehemu iliyochangamka ni Restaurant iliyopo karibu na makazi ya mzee hata ukienda kunywa hapo unakunywa ukichunga mdomo na akili maana vinaweza kukuponza ukianza kuizungumzia keki ya nchi
 
Kama Mabus yameshindwa kupata abiria CHATO itakuaje Kwenye ndege?
Hapa kila mtalii anaye taka kwenda Ngorongoro, Serengeti au Zanzibar anapewa offer offer offer kutua Chato Airport na kutalii Burigi-Chato national park, kabla ya kuelekea huko anakotarajia kwenda. Hii package itasaidia kutangaza North West tourism circuit na uwanja wa Chato.

Chato Airport ipo na itakuwepo milele ya uhai wako! Tujifunza na kuikubali ili tuishi nayo. Badala ya kuiponda na kuchukia kitu ambacho huwezi kibadilisha, changia mawazo jinsi ya kuuboresha ili faida ipatikane ufaidike.
 
Inashauriwa pia ujengwe ukumbi wa kisasa wa mikutano pale Ili mikutano yote iwe ikifanyika pale kusudi ndege zisikose abiria
 
Inashauriwa pia ujengwe ukumbi wa kisasa wa mikutano pale Ili mikutano yote iwe ikifanyika pale kusudi ndege zisikose abiria
Najua anao watu wengi wanaojikomba kwake wanamjua ni mpenda sifa so hili linawezekana
 
waache wapumbavu wafurahi,biashara ya ndege kwa nchi maskini ni hasara
 
Airport ya bukoba nayo iko maili 500?
 
Huko burigi kuna nini ambacho hupati serengeti?
 
Zimebaki nafasi mbili za ubunge mzee keep it up
 
Watu wa Geita na Biharamulo unawapeleka wapi?
 
Hah hah hah. Wanaforce kupeleka ndege huko baada ya vijembe vya Tundu Lissu kwa uwanaja ule anautumia yeye na mama yake tu. Sasa wanataka kum-prove wrong TL. Big gamble!
 
Logic yao ni kuwa mbona abiria wa kawaida wanapanda hizo ndege kutokea chato na sio namba moja pekee!

Yaani itatengenezwa cinema ambayo itaonesha umuhimu wa kibiashara wa uwanja ule na kwamba hela ya Umma haijapotea kujenga huo uwanja.
Okey na akishatoka madarakani na uwanja unakuwa useless
 
Kupeleka watalii? Au zitakuwa empty flights? Tundu Lissu kaleta balaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…