Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

Arusha iz overated.
Njombe
Mbeya
Iringa
Hii mikoa weka mbali na watoto.

Kwa manispaa
Usisahau kuiiweka Sumbawanga.

Wilaya nje ya lushoto Kuna
Gairo nayo SI haba
Na walaya ya mbinga pia hadi mvua za mawe
 
Naunga mkono hoja wilaya ya NEWALA-MTWARA ni hatari sana, sijui imekuwaje kule kuwe na baridi vile afu Mtwara kuwe na joto.
Newala iko juu mtwara iko chini karibu na bahari.
Kumbuka ukipanda juu kutoka usawa wa bahari joto linapungua baridi inaongezeka..ndio mana mikoa/wilaya yote yenye baridi hua ipo kwenye miinuko.

#MaendeleoHayanaChama
 
Arusha iz overated.
Njombe
Mbeya
Iringa
Hii mikoa weka mbali na watoto.

Kwa manispaa
Usisahau kuiiweka Sumbawanga.

Wilaya nje ya lushoto Kuna
Gairo nayo SI haba
Kwa ukanda wa kaskazini Mbulu inaongoza
 
Singida na Newala ziingie kwenye hiyo orodha aise
Last twi week nilikua Newala.

Kunae baridi ya kutosha alafu kuna upepo balaa. Nikashangaa watu na baridi ile mpaka saa 6 wapo Lux pale nje wanakula bia tu.

Sehemu nyingine konki ni Lushoto, Mererani
 
Dsm pamoja na joto kali lakini inawakimbiza kiuchumi mikoa yote Tanzania, sasa utachagua mwenyewe kuishi sehemu ya hali ya hewa nzuri au sehemu ya uhakika wa kukuza uchumi
 
Dsm pamoja na joto kali lakini inawakimbiza kiuchumi mikoa yote Tanzania, sasa utachagua mwenyewe kuishi sehemu ya hali ya hewa nzuri au sehemu ya uhakika wa kukuza uchumi
Tunaofanya hiyo Dsm iwe na uchumi ni sisi wenyewe watu wa kutoka kwenye mikoa kama Njombe, Mbeya, Iringa na mikoa mingine ya Nchi hii. Kwa hiyo usijisifu sana Dsm kukimbiza uchumi. Sisi wa mikoani ndiyo tumeijenga na kukuza huo uchumi unaojisifia hapo.
 
Dsm pamoja na joto kali lakini inawakimbiza kiuchumi mikoa yote Tanzania, sasa utachagua mwenyewe kuishi sehemu ya hali ya hewa nzuri au sehemu ya uhakika wa kukuza uchumi
Halafu pia kilichoifanya hiyo Dsm kuwa juu kiuchumi siyo hali ya hewa ya joto au baridi, bali ni bandari hiyo, kuwepo kwa serikali(Ikulu) hapo kwa miaka mingi sana. Hata kama Dsm kungekuwa kuna baridi kali kama ya Njombe lazima ingekimbiza tu kiuchumi kulingana na sababu tajwa hapo juu. Kwa hiyo joto na baridi hazijaleta uchumi huo mkubwa sawa bwana Kipangaspecial ?
 
Mbona wazungu wao wanapenda sana joto na jua kuliko baridi yani wazungu wakija Africa wanafurahi sana na wanapenda sana Afrika kuliko sisi wenye bara letu, Maana wakija Afrika wanavaa nguo za kawaida ambazo kwao hawavai kwasababu ya baridi
 
Fuatilia vizuri wazungu wanapenda kuishi wapi. Dar ES Salaam joto kali sana mzungu hawezi kuishi hapo. Kama anaishi ni kwa sababu tu ya kazi. Wazungu wanapenda kuishi sehemu zenye baridi
 
Wala huijui hii nchi, unaongelea tu maeneo ambayo labda ulipita kwa barabara

Lkn Gairo Morogoro - baridi kali
Kondoa, Babati, Katesh - baridi kali sana
Singida Kaskazini yote - baridi kali sana
 
Wala huijui hii nchi, unaongelea tu maeneo ambayo labda ulipita kwa barabara

Lkn Gairo Morogoro - baridi kali
Kondoa, Babati, Katesh - baridi kali sana
Singida Kaskazini yote - baridi kali sana

Siku ukifika Mafinga, au Makete utaelewa nilikuwa namaanisha nini.
Yaani unafananisha Babati sijui SINGIDA na vitu vya ajabu.

Hata Geographic Factor inakushinda
 
Huku Meru kuna baridi kiasi kwamba ukilala na mwanamke mwembamba utadhani umelala na panga lililonyeshewa mvua
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Mungu anakuona...

haki ya nani mungu anakuona,, na hatokuacha kwa hili
 
unayafahamu MA$EVE? waulize wenyeji huko Njombe!
 
Kilimanjaro na Tanga haiifikiii Ruvuma, huwa inafika hadi 9,
Ruvuma iwe no 4 hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ