Hivi utawezaje kuwasikiliza kina lissu walioamua kumpokea fisadi na kuanza kumsafisha kwa kumsugua na jiwe ili awe msafi?
Mbona hado yupo iraiani,kama nifisadi angepaswa kuwepo katika mahaka yakifisadi
 
Saa nyingine kwenye hilo lori kuna abiria wanaojua kuendesha vizuri zaidi so huyo dereva akubali kuelekezwa. Sio macho yote mbele mda nwingine ni vigumu kuona mashimo
Kitendo cha kutaja tuu lorry limebeba abiria tayari ni shida .maana hakunaga raha wala furaha kwa abiria Wa lorry
 
Hivi utawezaje kuwasikiliza kina lissu walioamua kumpokea fisadi na kuanza kumsafisha kwa kumsugua na jiwe ili awe msafi?
Bora huyo fisadi anashaurika kubadilika ni rahisi sio huyo malaika mweusi wenu asiesikia la mtu
 
 
Anachoweza Ni Kukamata Wapinzani,kufukuza Na Kuteua Sifa Za Kiongozi Hana Yeye Ana Sifa Za Kutawala.
 
Katika pita pita zangu, nakutana na watu mbalimbali wenye mitazamo tofauti kuhusu utendaji wa serikali iliyopo madarakani.

Wengine wamekuwa wakisema serikali hii imefanya mambo mengi mazuri ambayo serikali zilizopita zilishindwa kuyafanya.

Wakati kuna kundi lingine linadai serikali hii haijafanya chochote cha maana zaidi ya kuharibu mambo maZuri yaliyofanywa na serikali zilizopita.

Sasa basi naomba nichukue nafasi hii, kuwaomba wale wote wanaosema serikali hii ni ya kipekee kwa kufanya mambo makubwa ambayo yalishindikana kwa serikali zilizopita watuorodheshee mazuri hayo.
Ili wale ambao hawana imani nayo, waanze kubadilisha mitazamo yao.

Karibuni sana.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…