Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Jina lako ni jibu toshaHivi utawezaje kuwasikiliza kina lissu walioamua kumpokea fisadi na kuanza kumsafisha kwa kumsugua na jiwe ili awe msafi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lako ni jibu toshaHivi utawezaje kuwasikiliza kina lissu walioamua kumpokea fisadi na kuanza kumsafisha kwa kumsugua na jiwe ili awe msafi?
Mbona hado yupo iraiani,kama nifisadi angepaswa kuwepo katika mahaka yakifisadiHivi utawezaje kuwasikiliza kina lissu walioamua kumpokea fisadi na kuanza kumsafisha kwa kumsugua na jiwe ili awe msafi?
Kitendo cha kutaja tuu lorry limebeba abiria tayari ni shida .maana hakunaga raha wala furaha kwa abiria Wa lorrySaa nyingine kwenye hilo lori kuna abiria wanaojua kuendesha vizuri zaidi so huyo dereva akubali kuelekezwa. Sio macho yote mbele mda nwingine ni vigumu kuona mashimo
Bora huyo fisadi anashaurika kubadilika ni rahisi sio huyo malaika mweusi wenu asiesikia la mtuHivi utawezaje kuwasikiliza kina lissu walioamua kumpokea fisadi na kuanza kumsafisha kwa kumsugua na jiwe ili awe msafi?
![]()
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.
Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.
Mpaka sasa kafanya haya;
Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------
Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba
Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.
Miradi Mikubwa ya Maji :
Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
Hayatamsaidia yatamsaidia mtanzania aishiye marekani kwani Hata ile barabara ya Mtwara tandahimba zitapita private jets.Yote hayo yamemsaidia vipi mwananchi alieko Tandahimba?
Bashite ndio nani.?Rushwa bado, ila pamoja na hayo mazuri bado ameharibu kwenye demokrasia, bunge live, tunataka vyeti vya bashite na shutuma zake za ufisadi na uvamizi zifanyiwe kazi
Mtoto kipenzi cha mkolomije mkuu
Anaitwa Jinga Punda Minyoo
Sasa wewe kichwa chako ni kigumu kuelewa, tafuta mtu mwingine akueleweshe
Akhsante kwa kugundua.Sasa wewe kichwa chako ni kigumu kuelewa, tafuta mtu mwingine akueleweshe
kuvuruga umoja na mshikamano uliokuwepo ili kuendana na "divide and rule policy"