Wewe inakuuma Nini wakitaja hivyo vitu Mkuu.-SGR
-NDEGE
-DARAJA
-FLYOVER
-BWAWA LA UMEME
Vipi haya?
-Ruzuku kwenye Kilimo
-Masilahi ya Wafanyakazi
-Ajira kwa vijana wanao maliza vyuo
-Upatikanaji wa maji salama.
-Afya bora kwa kila Mtanzania.
-Elimu bora kabisa kabisa
-Mazingira ya ufanyaji biashara Tz
Lisu mmoja kwa chakubanga 1000 nalo hukuliona?Bila shaka Mkuu utakuwa Mhanga wa kumba kumba za Magufuli Maana Uzi Wako umejaa huzuni na hoja dhaifu zinazokinzana na kichwa Cha Uzi.
Pole bhana Acha mzee ainyoshe nchi Mlizoea vibaya Sana hasa nyie TANROADS. Mlisababisha vifo vingi sana vya kina mama kwa kujenga barabara mnavyotaka.
Ngoja Tuendelee kuwasubiri wengine Awamu hii mtajitokeza Sana.
Watanzania ndio maboss huyu wa kujimwambafai ayajiona yeye ndio tz anajidanganyaHuweziongea kinyume na akulipae
Nilishasema Tundu lissu Ni mtu mdogo sana katika Taifa hili. Huwezi ukamuingiza mtu mdogo Kama tundu lissu kwenye mijadala ya kitaifa itakuwa umefilisika hoja. TL Ni sawa na Wewe tu wote Ni baba wa familia.Lisu mmoja kwa chakubanga 1000 nalo hukuliona?
Barabara je zikimalizika mdundo gani utafuata? Viwanda tumekwamia kwenye zilezile cherehani nne au tumeshaongezea mashine za kudarizi?
Mfiaukweli, Bila shaka Mkuu utakuwa Mhanga wa kumba kumba za Magufuli Maana Uzi Wako umejaa huzuni na hoja dhaifu zinazokinzana na kichwa Cha Uzi.
Pole bhana Acha mzee ainyoshe nchi Mlizoea vibaya Sana hasa nyie TANROADS. Mlisababisha vifo vingi sana vya kina mama kwa kujenga barabara mnavyotaka.
Ngoja Tuendelee kuwasubiri wengine Awamu hii mtajitokeza Sana.
Nilishasema Tundu lissu Ni mtu mdogo sana katika Taifa hili. Huwezi ukamuingiza mtu mdogo Kama tundu lissu kwenye mijadala ya kitaifa itakuwa umefilisika hoja. TL Ni sawa na Wewe tu wote Ni baba wa familia.
Kuhusu saula la kuona faida ya miundo mbinu inayojengwa Hata mjinga Anaweza Akaelewa Ila kwa mtu Alie na akili ya kipumbavu hata iweje hawezi kuelewa Kwamaana hiyo Basi hata wewe kuendelea kutoona faida ya barabara zinazojengwa inatosha kabisa kuonyesha Akili yako ilivyo.
Hakuna anayekataa ama asiyeona kujengwa kwa miundombinu inayojengwa lakini kwanini makelele ni mengi kuliko wakati uliopita kana kwamba ndio nchi imepata uhuru? Mkikubali kusifiwa mjue na kuzodolewa kupo... hata reli ya TAZARA NI SGR msijisahaulishe kana kwamba ni miujiza inatendeka... je hivi vyeo na madaraka ya kupeana baada ya kusifiana vitatuvusha?Nilishasema Tundu lissu Ni mtu mdogo sana katika Taifa hili. Huwezi ukamuingiza mtu mdogo Kama tundu lissu kwenye mijadala ya kitaifa itakuwa umefilisika hoja. TL Ni sawa na Wewe tu wote Ni baba wa familia.
Kuhusu saula la kuona faida ya miundo mbinu inayojengwa Hata mjinga Anaweza Akaelewa Ila kwa mtu Alie na akili ya kipumbavu hata iweje hawezi kuelewa Kwamaana hiyo Basi hata wewe kuendelea kutoona faida ya barabara zinazojengwa inatosha kabisa kuonyesha Akili yako ilivyo.
Mobutu alijenga miundo mbinu kijijini kwao Gbadolite. Ina faida gani leo?
Kwani watu wa Hicho Kijiji Ni kwamba wote walikufa baada ya Mobutu kufariki Ama wao maisha Yao wanayaendeshea Angani Hadi wasiguse hizo miundo mbinu.Mobutu alijenga miundo mbinu kijijini kwao Gbadolite. Ina faida gani leo?
Hizi Ni njaa binafsi mkuu..Ukitoa wakati ni mwajiriwa wa idara/entities za serikali; sijawahi kutegemea fedha kutoka serikalini ili niishi. Najua kuwa private sector inakufa; lakini namshukuru Mungu maana amenijalia skills ambazo zinahitajika almost everywhere on this planet. Kwa hiyo mimi binafsi nina alternatives; whatever the mess.
Tatizo ni kuwa nawafahamu watu (wengine ni ndugu zangu) who are less fortunate. Ni kwa ajili yao - and I dare say hata WEWE pia umo kwenye kundi hilo - watu kama mimi tunapiga kelele hizi. Shangilieni tu, ila nchi hii soon itakuwa worse than Zimbabwe. Wengine mnaishi kwenye cuckoo-land; hamjui kuwa kosa moja huzalisha mengine kadhaa. Na kwa kuwa hamna uwezo wa ku-anticipate what the blunders currently being made will mean for the future hamuoni tunayoyaona wengine vividly.
Kwani watu wa Hicho Kijiji Ni kwamba wote walikufa baada ya Mobutu kufariki Ama wao maisha Yao wanayaendeshea Angani Hadi wasiguse hizo miundo mbinu.
Mbona Akili zenu wakuu zinasikitishaa.
Hizi Ni njaa binafsi mkuu..
for we bright mind Tunaona mbali mkuu Wala hatuna shaka na JPM.
Tatizo la watanzania huwa mnataka mtu afanye hovyo ili mpate Cha kuongea Ila Kama mtu anafanya vizuri huwa Mnaumia na kuhangaika Sana kwa kumpiga majungu kwa kila anachokifanya.
Mfano; Enzi za J.K aliekuwa free kuliko kawaida, (Uhuru wa Mikutano ya siasa,Uhuru wa midahalo ya kidini na Uhuru wa mtu binafsi ) Mlimutukana na kumuita majina ya kila Aina japo kila kitu mnachokidai Katika utawala huu alikuwa kakiruhusu. Imekuja Awamu ya JPM ambae inaonekana dhahiri yupo tofauti Sana na utawala wa jk kwa kuleta Maendeleo Zaidi kuliko propaganda Lakini Sasaiv Mnaumia na kuhangaika kila siku kupinga juhudi za JPM.
Another example; Diamond Wakati hajafanikiwa mlimubeza na kumuona Kama hafai leo hii kafanikiwa Anaiwakilisha vyema nchi yenu Mshaanza majungu kuwa yupo free Manson ndo maana Anajaza watu wengi vile nchi za nje. WATANZANIA MNAKWAMA WAPI?
Mwisho; Wewe mfiakweli Unajisema kama Mtaalamu wa Mambo ya Miundo mbinu huyohuyo bado huoni umuhimu wa kujengwa kwa miundo mbinu Unataka zijengwe Nini? Je ndo Taaluma yako inakufundisha kutoona faida za miundo mbinu.
Je Unajua hata hiyo nyumba uliyolalia Ni muundo mbinu? Je unajua Kama hata hizo barabara unazizutumia kwa safari zako Ni Miundo mbinu? Je Unajua hata hospital Ni Miundo mbinu hiyohiyo unayoipiga majungu isijengwe kwa kigezo Cha kwamba huoni faida yake.
Mkuu Hoja zako haziendani na Elimu yako Ungesema una skills za Hotel Management harafu ndo ukaja kupinga ujenzi wa miundo mbinu nisingekushanga lakini Sasa nakushangaa Sana heti unajiita Mtaalamu wa infrastructures then you know nothing About the needs and Advantages of having An infrastructures!!!!
Kwa Akili za wasomi Hawa Tanzania ya uchumi wa Kati tutasubiri Sana.