Ukitoa wakati ni mwajiriwa wa idara/entities za serikali; sijawahi kutegemea fedha kutoka serikalini ili niishi. Najua kuwa private sector inakufa; lakini namshukuru Mungu maana amenijalia skills ambazo zinahitajika almost everywhere on this planet. Kwa hiyo mimi binafsi nina alternatives; whatever the mess.
Tatizo ni kuwa nawafahamu watu (wengine ni ndugu zangu) who are less fortunate. Ni kwa ajili yao - and I dare say hata WEWE pia umo kwenye kundi hilo - watu kama mimi tunapiga kelele hizi. Shangilieni tu, ila nchi hii soon itakuwa worse than Zimbabwe. Wengine mnaishi kwenye cuckoo-land; hamjui kuwa kosa moja huzalisha mengine kadhaa. Na kwa kuwa hamna uwezo wa ku-anticipate what the blunders currently being made will mean for the future hamuoni tunayoyaona wengine vividly.
Hizi Ni njaa binafsi mkuu..
for we bright mind Tunaona mbali mkuu Wala hatuna shaka na JPM.
Tatizo la watanzania huwa mnataka mtu afanye hovyo ili mpate Cha kuongea Ila Kama mtu anafanya vizuri huwa Mnaumia na kuhangaika Sana kwa kumpiga majungu kwa kila anachokifanya.
Mfano; Enzi za J.K aliekuwa free kuliko kawaida, (Uhuru wa Mikutano ya siasa,Uhuru wa midahalo ya kidini na Uhuru wa mtu binafsi ) Mlimutukana na kumuita majina ya kila Aina japo kila kitu mnachokidai Katika utawala huu alikuwa kakiruhusu. Imekuja Awamu ya JPM ambae inaonekana dhahiri yupo tofauti Sana na utawala wa jk kwa kuleta Maendeleo Zaidi kuliko propaganda Lakini Sasaiv Mnaumia na kuhangaika kila siku kupinga juhudi za JPM.
Another example; Diamond Wakati hajafanikiwa mlimubeza na kumuona Kama hafai leo hii kafanikiwa Anaiwakilisha vyema nchi yenu Mshaanza majungu kuwa yupo free Manson ndo maana Anajaza watu wengi vile nchi za nje. WATANZANIA MNAKWAMA WAPI?
Mwisho; Wewe mfiakweli Unajisema kama Mtaalamu wa Mambo ya Miundo mbinu huyohuyo bado huoni umuhimu wa kujengwa kwa miundo mbinu Unataka zijengwe Nini? Je ndo Taaluma yako inakufundisha kutoona faida za miundo mbinu.
Je Unajua hata hiyo nyumba uliyolalia Ni muundo mbinu? Je unajua Kama hata hizo barabara unazizutumia kwa safari zako Ni Miundo mbinu? Je Unajua hata hospital Ni Miundo mbinu hiyohiyo unayoipiga majungu isijengwe kwa kigezo Cha kwamba huoni faida yake.
Mkuu Hoja zako haziendani na Elimu yako Ungesema una skills za Hotel Management harafu ndo ukaja kupinga ujenzi wa miundo mbinu nisingekushanga lakini Sasa nakushangaa Sana heti unajiita Mtaalamu wa infrastructures then you know nothing About the needs and Advantages of having An infrastructures!!!!
Kwa Akili za wasomi Hawa Tanzania ya uchumi wa Kati tutasubiri Sana.