Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
-SGR
-NDEGE
-DARAJA
-FLYOVER
-BWAWA LA UMEME

Vipi haya?
-Ruzuku kwenye Kilimo
-Masilahi ya Wafanyakazi
-Ajira kwa vijana wanao maliza vyuo
-Upatikanaji wa maji salama.
-Afya bora kwa kila Mtanzania.
-Elimu bora kabisa kabisa
-Mazingira ya ufanyaji biashara Tz
Wewe inakuuma Nini wakitaja hivyo vitu Mkuu.
 
Jeef George,
Mkuu, kwetu kule umakondeni yaani ni kama shamba la mpunga limeotesha vyote mpunga halisi na nachipunga; usipokuwa makini huwezi kutofautisha.

Kama huyu jamaa alikuwa anafanya kazi ujenzi, ebu fikiria kama angepewa kusimamia project fulani!

Namshukuru Mungu kwa kutupa Rais Magufuli, pamoja na madhaifu yake yote (sote tuna madhaifu), amekuja kwa wakati mwafaka kabisa kulisaidia taifa letu.
 
Bila shaka Mkuu utakuwa Mhanga wa kumba kumba za Magufuli Maana Uzi Wako umejaa huzuni na hoja dhaifu zinazokinzana na kichwa Cha Uzi.
Pole bhana Acha mzee ainyoshe nchi Mlizoea vibaya Sana hasa nyie TANROADS. Mlisababisha vifo vingi sana vya kina mama kwa kujenga barabara mnavyotaka.
Ngoja Tuendelee kuwasubiri wengine Awamu hii mtajitokeza Sana.
Lisu mmoja kwa chakubanga 1000 nalo hukuliona?
Barabara je zikimalizika mdundo gani utafuata? Viwanda tumekwamia kwenye zilezile cherehani nne au tumeshaongezea mashine za kudarizi?
 
Nilishasema Tundu lissu Ni mtu mdogo sana katika Taifa hili. Huwezi ukamuingiza mtu mdogo Kama tundu lissu kwenye mijadala ya kitaifa itakuwa umefilisika hoja. TL Ni sawa na Wewe tu wote Ni baba wa familia.
Kuhusu saula la kuona faida ya miundo mbinu inayojengwa Hata mjinga Anaweza Akaelewa Ila kwa mtu Alie na akili ya kipumbavu hata iweje hawezi kuelewa Kwamaana hiyo Basi hata wewe kuendelea kutoona faida ya barabara zinazojengwa inatosha kabisa kuonyesha Akili yako ilivyo.
 
Mfiaukweli, Bila shaka Mkuu utakuwa Mhanga wa kumba kumba za Magufuli Maana Uzi Wako umejaa huzuni na hoja dhaifu zinazokinzana na kichwa Cha Uzi.

Pole bhana Acha mzee ainyoshe nchi Mlizoea vibaya Sana hasa nyie TANROADS. Mlisababisha vifo vingi sana vya kina mama kwa kujenga barabara mnavyotaka.

Ngoja Tuendelee kuwasubiri wengine Awamu hii mtajitokeza Sana.

Ukitoa wakati ni mwajiriwa wa idara/entities za serikali; sijawahi kutegemea fedha kutoka serikalini ili niishi. Najua kuwa private sector inakufa; lakini namshukuru Mungu maana amenijalia skills ambazo zinahitajika almost everywhere on this planet. Kwa hiyo mimi binafsi nina alternatives; whatever the mess.

Tatizo ni kuwa nawafahamu watu (wengine ni ndugu zangu) who are less fortunate. Ni kwa ajili yao - and I dare say hata WEWE pia umo kwenye kundi hilo - watu kama mimi tunapiga kelele hizi. Shangilieni tu, ila nchi hii soon itakuwa worse than Zimbabwe. Wengine mnaishi kwenye cuckoo-land; hamjui kuwa kosa moja huzalisha mengine kadhaa. Na kwa kuwa hamna uwezo wa ku-anticipate what the blunders currently being made will mean for the future hamuoni tunayoyaona wengine vividly.
 
Nilishasema Tundu lissu Ni mtu mdogo sana katika Taifa hili. Huwezi ukamuingiza mtu mdogo Kama tundu lissu kwenye mijadala ya kitaifa itakuwa umefilisika hoja. TL Ni sawa na Wewe tu wote Ni baba wa familia.
Kuhusu saula la kuona faida ya miundo mbinu inayojengwa Hata mjinga Anaweza Akaelewa Ila kwa mtu Alie na akili ya kipumbavu hata iweje hawezi kuelewa Kwamaana hiyo Basi hata wewe kuendelea kutoona faida ya barabara zinazojengwa inatosha kabisa kuonyesha Akili yako ilivyo.

Mobutu alijenga miundo mbinu kijijini kwao Gbadolite. Ina faida gani leo?
 
Hakuna anayekataa ama asiyeona kujengwa kwa miundombinu inayojengwa lakini kwanini makelele ni mengi kuliko wakati uliopita kana kwamba ndio nchi imepata uhuru? Mkikubali kusifiwa mjue na kuzodolewa kupo... hata reli ya TAZARA NI SGR msijisahaulishe kana kwamba ni miujiza inatendeka... je hivi vyeo na madaraka ya kupeana baada ya kusifiana vitatuvusha?
Management ndio tatizo kuu si ujenzi wa miradi... panyabuku walewale ndio wanaosimamia mwishoni ondoa makengeza utizame kinachoiua DART...
 
Mobutu alijenga miundo mbinu kijijini kwao Gbadolite. Ina faida gani leo?
Kwani watu wa Hicho Kijiji Ni kwamba wote walikufa baada ya Mobutu kufariki Ama wao maisha Yao wanayaendeshea Angani Hadi wasiguse hizo miundo mbinu.

Mbona Akili zenu wakuu zinasikitishaa.
 
Ukitoa wakati ni mwajiriwa wa idara/entities za serikali; sijawahi kutegemea fedha kutoka serikalini ili niishi. Najua kuwa private sector inakufa; lakini namshukuru Mungu maana amenijalia skills ambazo zinahitajika almost everywhere on this planet. Kwa hiyo mimi binafsi nina alternatives; whatever the mess.

Tatizo ni kuwa nawafahamu watu (wengine ni ndugu zangu) who are less fortunate. Ni kwa ajili yao - and I dare say hata WEWE pia umo kwenye kundi hilo - watu kama mimi tunapiga kelele hizi. Shangilieni tu, ila nchi hii soon itakuwa worse than Zimbabwe. Wengine mnaishi kwenye cuckoo-land; hamjui kuwa kosa moja huzalisha mengine kadhaa. Na kwa kuwa hamna uwezo wa ku-anticipate what the blunders currently being made will mean for the future hamuoni tunayoyaona wengine vividly.
Hizi Ni njaa binafsi mkuu..
for we bright mind Tunaona mbali mkuu Wala hatuna shaka na JPM.
Tatizo la watanzania huwa mnataka mtu afanye hovyo ili mpate Cha kuongea Ila Kama mtu anafanya vizuri huwa Mnaumia na kuhangaika Sana kwa kumpiga majungu kwa kila anachokifanya.

Mfano; Enzi za J.K aliekuwa free kuliko kawaida, (Uhuru wa Mikutano ya siasa,Uhuru wa midahalo ya kidini na Uhuru wa mtu binafsi ) Mlimutukana na kumuita majina ya kila Aina japo kila kitu mnachokidai Katika utawala huu alikuwa kakiruhusu. Imekuja Awamu ya JPM ambae inaonekana dhahiri yupo tofauti Sana na utawala wa jk kwa kuleta Maendeleo Zaidi kuliko propaganda Lakini Sasaiv Mnaumia na kuhangaika kila siku kupinga juhudi za JPM.

Another example; Diamond Wakati hajafanikiwa mlimubeza na kumuona Kama hafai leo hii kafanikiwa Anaiwakilisha vyema nchi yenu Mshaanza majungu kuwa yupo free Manson ndo maana Anajaza watu wengi vile nchi za nje. WATANZANIA MNAKWAMA WAPI?

Mwisho; Wewe mfiakweli Unajisema kama Mtaalamu wa Mambo ya Miundo mbinu huyohuyo bado huoni umuhimu wa kujengwa kwa miundo mbinu Unataka zijengwe Nini? Je ndo Taaluma yako inakufundisha kutoona faida za miundo mbinu.
Je Unajua hata hiyo nyumba uliyolalia Ni muundo mbinu? Je unajua Kama hata hizo barabara unazizutumia kwa safari zako Ni Miundo mbinu? Je Unajua hata hospital Ni Miundo mbinu hiyohiyo unayoipiga majungu isijengwe kwa kigezo Cha kwamba huoni faida yake.

Mkuu Hoja zako haziendani na Elimu yako Ungesema una skills za Hotel Management harafu ndo ukaja kupinga ujenzi wa miundo mbinu nisingekushanga lakini Sasa nakushangaa Sana heti unajiita Mtaalamu wa infrastructures then you know nothing About the needs and Advantages of having An infrastructures!!!!

Kwa Akili za wasomi Hawa Tanzania ya uchumi wa Kati tutasubiri Sana.
 
Kwani watu wa Hicho Kijiji Ni kwamba wote walikufa baada ya Mobutu kufariki Ama wao maisha Yao wanayaendeshea Angani Hadi wasiguse hizo miundo mbinu.

Mbona Akili zenu wakuu zinasikitishaa.

Wewe Ungekuwa unajua lolote usingeandika uliyoyaandika hapa maana ni mfano ambao tangu miaka ya 90 umekuwa unaongelewa kuwa ni kielelezo cha white elephants kupata kutekelezwa Afrika hii.
 
Hizi Ni njaa binafsi mkuu..
for we bright mind Tunaona mbali mkuu Wala hatuna shaka na JPM.
Tatizo la watanzania huwa mnataka mtu afanye hovyo ili mpate Cha kuongea Ila Kama mtu anafanya vizuri huwa Mnaumia na kuhangaika Sana kwa kumpiga majungu kwa kila anachokifanya.

Mfano; Enzi za J.K aliekuwa free kuliko kawaida, (Uhuru wa Mikutano ya siasa,Uhuru wa midahalo ya kidini na Uhuru wa mtu binafsi ) Mlimutukana na kumuita majina ya kila Aina japo kila kitu mnachokidai Katika utawala huu alikuwa kakiruhusu. Imekuja Awamu ya JPM ambae inaonekana dhahiri yupo tofauti Sana na utawala wa jk kwa kuleta Maendeleo Zaidi kuliko propaganda Lakini Sasaiv Mnaumia na kuhangaika kila siku kupinga juhudi za JPM.

Another example; Diamond Wakati hajafanikiwa mlimubeza na kumuona Kama hafai leo hii kafanikiwa Anaiwakilisha vyema nchi yenu Mshaanza majungu kuwa yupo free Manson ndo maana Anajaza watu wengi vile nchi za nje. WATANZANIA MNAKWAMA WAPI?

Mwisho; Wewe mfiakweli Unajisema kama Mtaalamu wa Mambo ya Miundo mbinu huyohuyo bado huoni umuhimu wa kujengwa kwa miundo mbinu Unataka zijengwe Nini? Je ndo Taaluma yako inakufundisha kutoona faida za miundo mbinu.
Je Unajua hata hiyo nyumba uliyolalia Ni muundo mbinu? Je unajua Kama hata hizo barabara unazizutumia kwa safari zako Ni Miundo mbinu? Je Unajua hata hospital Ni Miundo mbinu hiyohiyo unayoipiga majungu isijengwe kwa kigezo Cha kwamba huoni faida yake.

Mkuu Hoja zako haziendani na Elimu yako Ungesema una skills za Hotel Management harafu ndo ukaja kupinga ujenzi wa miundo mbinu nisingekushanga lakini Sasa nakushangaa Sana heti unajiita Mtaalamu wa infrastructures then you know nothing About the needs and Advantages of having An infrastructures!!!!

Kwa Akili za wasomi Hawa Tanzania ya uchumi wa Kati tutasubiri Sana.

I won't stoop that low to your level. Hujui hata ulichokiandika wewe mwenyewe. Umeandika vitu ambavyo wala sijaviandika wala sijavi-imply; ni wapi nilipoandika kuwa mimi "ni mtaalamu wa infrastructures"? You have no clue dude on what I actually wrote. I repeat; huna mental capacity ya kuelewa nilichoandika.
 
Historia itamkumbuka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt JOHN POMBE MAGUFULI Vizazi na vizazi kutokana na miradi mbalimbali ya kitaifa aliyoitekeleza .

Kwa lugha nyingine maswali na majibu ya somo la Historia kwa wanafunzi miaka ijayo yatakuwa hivi

i)Rais wa kwanza wa Tanzania kujenga SGR - MAGUFULI

ii)Rais wa kwanza wa Tanzania kujenga barabara za juu- MAGUFULI

iii)Rais wa Kwanza wa Tanzania kununua Ndege za kisasa nyingi zaidi kwa fedha za Ndani- MAGUFULI.

iv) Mgombea wa kwanza wa nafasi ya urais kuchagua makamu wa Rais Mwanamke - MAGUFULI.

v)Rais wa kwanza kuhamishia Serikali makao makuu ya Nchi Dodoma kwa vitendo- MAGUFULI

vi) Rais wa kwanza wa Tanzania kusafiri nje ya Nchi mara chache zaidi - MAGUFULI

vii) Rais wa kwanza kusimamia kwa vitendo mawazo ya Baba wa taifa ya ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme ‘Stigilers gorge’ na ujenzi wa viwanda - MAGUFULI.

viii)Rais wa pili wa Tanzania baada ya Nyerere kupambana na unyonyaji wa rasilimali asili za taifa kama madini dhidi ya mataifa ya kibepari- MAGUFULI

ix)Rais wa pili baada ya Nyerere kusimamia bila kupepesa Macho maadili ya utumishi wa umma - MAGUFULI

x)Rais wa Pili baada ya Nyerere kuhamasisha Uzalendo, Kujitegemea na Watanzania Kujiamini kama Taifa tunaweza kusonga mbele pasipo tu kutegemea mataifa ya kigeni.
 
Nikiwa kama kada wa Chama pendwa napendekeza misamaha ya wafungwa iingizwe kwenye moja ya mafanikio ya awamu ya 5, inapotajwa mafanikio basi suala la kusamehe wafungwa liwemo pia.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Back
Top Bottom