Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hii reli ni nani aliiua?Reli ya Dar-Moshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii reli ni nani aliiua?Reli ya Dar-Moshi
Ngoja nitaongea na Mzee Mwinyi akitoka kwenye misa hapa Chato!Hii reli ni nani aliiua?
Na nyie mnapaswa muwasifie marais walioasisi hiyo miradi badala ya kuaminisha watu kuwa marehemu ndiye alikuwa kila kitu! Wapumzike kwa amani. J. K. Nyerere, Ben Mkapa na J. Magufuli! Mungu awape maishe marefu wazee wetu Alli Mwinyi, J. Kikwete na mama yetu Samia Suluhu!Kwa hiyo ulijengwa awamu ya nne si ndio
Kumbe Mwinyi alikuwa CHADEMA wakati akiongoza nchi....Ngoja nitaongea na Mzee Mwinyi akitoka kwenye misa hapa Chato!
CHADEMA imetoka wapi hapa?Kumbe Mwinyi alikuwa CHADEMA wakati akiongoza nchi....
CHADEMA imetoka wapi hapa?
Waulize kiwanda cha viatu huko moshi kimefufuliwa na na nani? mradi wa maji Arusha bill500 umeletwa na nani? Magufuli ndio best president ever kwa Tanzania .Kufufua mashirika ya Umma kama TTCL, Airtel kurudi serikalini, Reli ya Dar-Moshi nk.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!
Mika mitano and probably kumi ni michache Sana , unaframe tu vitu unavyoweza kufanya Kwa huo mda , vingi Kwa ajili ya kizazi kilichopo na vichache Kwa ajili ya kizazi kinachokuja.Tatizo la Magufuli, alidhani atakuwa Rais wa Tanzania milele miradi mingi utadhani aliambiwa hawatakuja watu wengine kufanya haya mambo ni kupokezana vijiti unajikuna unapoweza unaachia wengine nao wataendeleza hakujifunza kuwa alianza kuyafanya Nyerere na hakuweza kumaliza.
Wakati wa jk alikuwa waziri aliyeongoza kwa purfomance Zaid hata ya raise, Hilo halinaubishi, sifa zake mwenyew ndo zilimfanya apte uraisi 2015 chama kilikuwa kimepoteza sifa chini ya jk nadhani Hilo unalikumbuka ndo Mana hata ccm walikubali neno "vote for magufuli and not vote for ccm". Wakati wa awmu hii purfomance kubwa ilikuwa ya rais kuliko wazri wote kila kilichofanyika Kuna jitihada za rais zilikuwa zinaonekanaNa wakati wa JPM msimamizi akiwa nani? Mbona hamumtaji!!???
Huwezi kuwa na purfomance ya 100% ndo Mana hata wewe umetoa huo mfano was kigoma tu. Ukizungumza miundombinu ya nchi hii lazma umtaje jpm kabla ya uraisi au wakati akiwa rais. Wakati wa jk alikuwa waziri aliyeongoza kwa purfomance Zaid hata ya rais.And he failed miserably, Kikwete kasepa kaacha kigoma haijaungwa na lami , hadi kesho ipo hivyo hivyo , na isingekua juhudi za Zitto kuomba pesa mabeberu ungekuta haina kabisa
Tuachane na hilo
Kwan awamu ya Magu hakua na waziri wa ujenz na usafirishaj ?
Ni kigoma na katavi , kikwete kaongeza na MaraHuwezi kuwa na purfomance ya 100% ndo Mana hata wewe umetoa huo mfano was kigoma tu. Ukizungumza miundombinu ya nchi hii lazma umtaje jpm kabla ya uraisi au wakati akiwa rais. Wakati wa jk alikuwa waziri aliyeongoza kwa purfomance Zaid hata ya rais...
Umekuja vizur kati ya mikoa 26 unataja 3 halafu Barbara zote hizo ulizozutaja zinaendea kutengezwa na ya zamani zaid ni hyo ya kigoma. Usisahau kuwa kifo kimekatsha na sio kwamba amemaliza awamu yake.Ni kigoma na katavi , kikwete kaongeza na Mara
Kwahiyo ikija enzi za Kikwete hututaj rais tunataja Waziri , ikija awamu wa Magu hatutaji waziri tunataja rais ..akili za mataga
Hivi unajua kusoma vizuri kweli wewe?Umekuja vizur kati ya mikoa 26 unataja 3 halafu Barbara zote hizo ulizozutaja zinaendea kutengezwa na ya zamani zaid ni hyo ya kigoma. Usisahau kuwa kifo kimekatsha na sio kwamba amemaliza awamu yake.kama angemaliza awmu hii ungekuwa na uhalali wa kumlaumu hivyo...
Wewe unayejua kusoma. unajua jpm alipewa jina tingatinga kwa ajili gani?usimfie mtu mbio bila kuangalia anayemkimbiza. Huwezi taja miundombinu Tanzania hii bila kumtaja tingatinga.Hivi unajua kusoma vizuri kweli wewe?
Kikwete kaunganisha nchi nzima na lami kasoro Katavi (wakati anaondoka ilikua kwenye 80% huko kuunganishwa kwa barabara za sumbawanga mpanda na tabora mpanda...
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.Nendeni na gwajima mkamfufue mungu wenu k.enge nyinyi