Avicii
Senior Member
- Sep 16, 2023
- 102
- 173
Yule saivi ndo mtu anayeogopeka zaidi dunianiNetanyahu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule saivi ndo mtu anayeogopeka zaidi dunianiNetanyahu
Na Mimi nakushangaa wewe mtanzania unayeumia na wapalestina wakati waafrika wenzako hapo Sudan na Congo wanauanawatoto
We mama una tatizo la akili,Umeandika kwa chuki, hukumu na amri imetolewa na mahakama, mhalifu akitekeleza au hatekelezi sio kazi ya mleta habari.
Mimi nakushangaa wewe unaejiita Mtamzania, unaona raha watoto na wanawake qanavyouliwa kwa kudhulumiwa huko Ghaza?
Hiyo unayosema "israel" ni ardhi ya Wapalestina, waliokuja ni hao mazayuni, mpaka wataitema tu kama walivyoitema Afrika Kusini.We mama una tatizo la akili,
Hao wanatafutana na kuuana Na hao allahu akibaru wenzio.
Wakienda kujificha na watoto na wanawake watafuatwa na haijalishi Hamas au mtoto au mamaake anakufa.
Swali ni kwanini walienda kuua na kuteka kule Israel.?
Majibu ndo hayo.
Kuna binti wamemkamata wakambaka, wakamtesa mpk kajinyea.
Walahi nilitamani niwe malaika nikawatwange risasi za viuno wote wale makobazi.
Unajiita commando umevaa Adidas za kichina.
Kuna watoto hao wa kutoka hukohuko juzi tu wameua mtu mbele ya mwanae kipuuzi tu.
Kuna mzee alikua na safari yake kwenda dinner kapigwa risasi kisa hao alahu akibaru.
Siku mtu tunakunywa gather katoka tu akavute fegi kala shaba.
Nyie ni mashetani, hamtakiwa kukaa na watu waliostaarabika
Unajua hata unachoongea?Hiyo unayosema "israel" ni ardhi ya Wapalestina, waliokuja ni hao mazayuni, mpaka wataitema tu kama walivyoitema Afrika Kusini.
Huko AK hawajaondoka wote, wengi sana walioondoka na wengine wakahamia mpaka Tanzania, kama huelewi, na ndiyowalioshika kilimo cha Tumbaku huko Tabora.lakini wanaishi chini ya utawala wa nani?Unajua hata unachoongea?
Afrika kusini wako waholland siku zote na hawajaondoka wako mpaka leo.
Waondoke kwenda wapi wamezaliwa vizazi na vizazi palepale, wanaishi maisha ya kawaida tu na wenyeji.
Israel hana interest yoyote SA.
Hao wanabondabonda huko Gaza ,Rafah,Palestina wote karibia sio wakazi wa Israel.
Ila ni wanajeshi wa Israel wako huko Ughaibuni.
Walirudi wote kupigania nchi yao.
Kapike vitumbua sasa tunywe chai
Mi nimjue shaheed wa nini mnasema mtaua zayuni wote huko wako hapo Palestine wanawamalizia.hakuna zayuni ataishi kwa amani kama kuna Mpalestina hata mmoja ataebaki hai.
Huelewi kuwa kupigania ardhi yao ni kuwa mashaheed, unajuwa maana ya shaheed?
Nisikufahamu na kura nilikupigia😀😀😀Sasa unahangaika na mtu ambaye hata umfahamu wewe punguni kweli.
Joshua Mollel mbona ulifurahia Hamas walipomuua na video ipo humu jf na comment zako za kitaqiyya mnazohimizwa na AllahUmeandika kwa chuki, hukumu na amri imetolewa na mahakama, mhalifu akitekeleza au hatekelezi sio kazi ya mleta habari.
Mimi nakushangaa wewe unaejiita Mtamzania, unaona raha watoto na wanawake qanavyouliwa kwa kudhulumiwa huko Ghaza?
Allah amesema Israel ni ardhi ya Watu wa Nabii Mussa wasiachie ardhi na waipiganie hadi Kiama.. wewe kakae upande wa iblis anae Sumbua Yahudi wasaidizi wa Allah... so pingana tu na Allah kama husomi Quran wewe ni KafirMtu akuingilie nyunbani kwako, apatakenkwa nguvu, auwe wanao, wagonjwa wako, wazee wako, wanawake zako, halafu wewe unaewapigania kudhulumiwa ndio uwe gaidi?
Acha kuchanganya vitu Bibi upiganiaji wa haki kati ya South Africa na Hamas (Palestine) ni vitu viwili tofautiHuko AK hawajaondoka wote, wengi sana walioondoka na wengine wakahamia mpaka Tanzania, kama huelewi, na ndiyowalioshika kilimo cha Tumbaku huko Tabora.lakini wanaishi chini ya utawala wa nani?
Wapalestina hawana tofauti na Afrika Kusini, wanachotaka ni wajitawale wenyewe, mazayuni warudi walikotoka, wala hawana makuu, hakuna zayuni ataishi kwa amani kama kuna Mpalestina hata mmoja ataebaki hai.
Huelewi kuwa kupigania ardhi yao ni kuwa mashaheed, unajuwa maana ya shaheed?
Kumbuka hilo.
Jiulize kwanini South Africa wamekuwa nstari wa mbele kuwapigania Wapalestina? Kuanzia chama tawala mpaka wapinzani huko SA wanaipigania Palestina.Acha kuchanganya vitu Bibi upiganiaji wa haki kati ya South Africa na Hamas (Palestine) ni vitu viwili tofauti
Mandela baada ya kutoka gerezani na South Africa kua huru hakufukuza wazungu aliwaacha waendelee kujenga nchi kwa pamoja baada ya kuona wazungu wapo vizuri zaidi kwenye sekta zote za uchumu ila wa Afrika walijikita kwenye uongozi na maamuzi ambao Ndio kundi kubwa katika nchi
Wazungu na wa Afrika wanaishi vizuri kwa kushirikiana sana mtu mweusi Raia wa SA yupo tayali kumuua mtu mweusi mwenzake alie toka Nigeria Kenya Tanzania ila akamuacha msouth Afrika mweupe
Shida kubwa ambayo ipo kati ya hizi nchi ni siku zote ni DINI
Hamna kitu kibaya hapa duniani kimeua watu wengi zaidi kama Dini
kama Raia wa Israel wangekua ni Islam basi hii vita wala isingekuwepo from beginning
Kwaiyo vita iendelee apo Rafah?Hi mahakama ni tools inatumiwa na Europe pamoja na America tu , wameingilia hi sababu wameona Israel anapokea kipigo pale Rafah.
Breaking news ya leo ni hi hapa
Habari za kushtua kwa Tel Aviv:
Leo limefanyika shambulio kubwa zaidi vifaru vya special force ya Israel na askari wake katika eneo la Rafah. Ripoti za mwanzo zinasema dadi kubwa ya vifaru, na askari walio kufa na kujehuriwa pamojo na magari ya kivita yamepigwa pia.
Ndio kwa MTAZAMO uo upo sawa kabisa Lakini jiulize hii piaJiulize kwanini South Africa wamekuwa nstari wa mbele kuwapigania Wapalestina? Kuanzia chama tawala mpaka wapinzani huko SA wanaipigania Palestina.
Au hulielewi hilo?
Hawakufikia walioo kiwepesi, walipambana sana na wao pia waliwekwa kundi la nagaidi na Mandela akafungwa naisha kama gaidi, au huelewi hayo?Ndio kwa MTAZAMO uo upo sawa kabisa Lakini jiulize hii pia
Kwa nini wao SA wanaishi na wakoloni mpaka leo hii na Ndio wameshika sekta zote za uchumu (kilimo biashara mawasiliano nk) why hawajafanya kama walivyo fanya Palestine (Hamas)
najua vizur sanaa lakn kwa sababu gani bado wanaishi vizuri pamoja kwa kushirikiana mpaka leo tunavyo ongea apa?Hawakufikia walioo kiwepesi, walipambana sana na wao pia waliwekwa kundi la nagaidi na Mandela akafungwa naisha kama gaidi, au huelewi hayo?