Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Ha ha ha....sijui umeandika lugha gani.usipaniki. mi nadhani Israel waachwe wafanye operation za kijeshi. Hamas mwana kulitafuta mwana kulifind. Hamas walianza kuteka na kuua wanawake na watoto Israel siyo Wakristo.wao wanaamini jino kwa jino kama waislamu tu. Hamas waue Wayahudi na Israel iue Waaraba ngoma draw.Mtu akuingilie nyunbani kwako, apatakenkwa nguvu, auwe wanao, wagonjwa wako, wazee wako, wanawake zako, halafu wewe unaewapigania kudhulumiwa ndio uwe gaidi?