Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) yaagiza Israel kukomesha mara moja ushambuliaji wa kijeshi huko Rafah

⚑Israel announces the resumption of indirect negotiations with Hamas next week

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe mmanyema wa kigoma unasema Mahakama inawaonea huruma IDF wakati huo huo Hamas wameshangilia maamuzi ya mahakama na kusema Mahakama izuie Mashambulizi Gaza yote..

Nilitegemea utasema kwa maamuzi yeyote ya ICC mateka hamuwaachii.. miili ya Watanzania wenzetu Sinwar anaila kwenye mahandaki
 
Sawa tutakomeaha vita kwanza sababu kuna shortage ya mabikira peponi
Hamna bhana. Wacha vita iendelee. Wale watakaokosa mabikra 72 wakae kwenye foleni ya kusubiria mgawo kadri mabikra wanavyopatikana au washirikiane na waliopata. Mi nashauri idadi ya 72 ni kubwa mno, inafaa irekebishwe na iwe nusu i.e. 36. au unasemaje mkuu?
 
Nyinyi mi islamists mwisho wenu uko karibu; mnachekelea tu maamuzi hayo ya kipumbavu yanayofanywa na hiyo intl court of justice ambayo iko infiltrated na muslim brotherhood, kumbe ukweli ni kwamba nyinyi ni wauwaji wakubwa

View: https://x.com/Thexmuslim/status/1794311816639807863
 
dogo wewe huoni Tela Aviv kilio unaona cha Gaza tu, Israel hana jipya na dalili msikilize Nasurlah kiongozi wa Hezbollah anasema nini hapa

View: https://youtu.be/97djAg4sLfQ?si=ZZ70lc_yQ3DO5-qH
Kiongozi huyo anasema kila Netanyahu akijifanya mjuaji, ndio anavyo iteketeza Israel, dunia nzima wanafahamu Hamasi hawezi shindwa vita na Israel.

Hio ya kusema Gaza wamefurahi wako wamanchi watafurahi, sababu Israel hapigani vita anacho fanya genocide kwa kutumia silaha za America na Europe

We baki unabweka kama mbwa koko wenzako Tela Aviv wanalia maisha magumu, matekwa hawakombolewi hata hao maiti hajawakomboa ni uwongo wa Netanyahu πŸ˜„

Tazama economy ya Israel ilivyo drop ndio utafahamu Israel anatafuta ushindi hata wa picture na hajaupata ili atoke Gaza kwa mazungumzo ya amani.
 
Kwaiyo vita iendelee apo Rafah?

Hii nimependa imenikumbusha kanuni Moja hivi
Kila kitu unacho kisikia ni MAONI TU
Kila kitu unacho kiona ni MTAZAMO TU sio ukweli

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We kijana nyie sikilizeni tu propoganda za USA na Israel, kitu kilicho fanya mahakama hapo ni bada ya kuona aibu South Africa kupeleka dalili za genocide.

Kidogo wamekuja na balance flani kuwa Netanyahu na yule waziri wake wa majeshi wakamatwe, hapo hapo wametaka viongozi wa Hamasi pia wakamatwe.

Sa watupe dalili wapi Hamasi kauwa wananchi wa Israel wasio na hatia, hawana.

Vipi wakamatwe viongozi wa Hamasi πŸ˜„

Wale walio uliwa na Hamasi walikuwa ni wanajeshi na hata media za Israel zimekiri hayo, wale civilian wa Israel waliuliwa na Helicopter zao by mistake
 
soma ulicho andika kabla hauja chapisha bandiko lako public kwa sabab kupitia maandishi yako analysts tunajua mambo yafuatayo
1 who you are
2 your character
3 your level of education and thinking capacity ( intelligent quotient)
4 what you like and what you dislikes
5 your emotions quotient

kwa mtazamo wako ni sahihi kabisa Hamas hakuua raia yoyote wa Israel na wala hawakuchukua mateka yoyote wa Israel
 
Marekani kashindwa kuonyesha demokrasia yeye kama super power.
Mbali na maagizo yaliyotolewa na mahakama israel kaendelea kuishambulia Rafah masaa nane yaliyopita na ameshaambiwa aache na kuondoa vikosi lakini amekaidi.

Binafsi huwa nishazoea propaganda za mmarekani. Cha muhimu ni kutafuta namna ya kuendelea kudai uhuru wao. Lakini Wasitegemee hata siku moja hizi mahakama zilizo chini ya marekani kuwaletea uhuru pasi ya wao kupambana.

Michezo yote inayochezwa na ireland, spain na nchi zingine ni propaganda endelevu kwa marekani. Yaani mahakama inasema hivi halafu wao wanapinga.

Wapiganie haki kwa namna wanayona itafaa.
 
We wachana na story za kitoto we utajua vipi mimi msomi au si msomi kwa ku chat hapa unless uwe kichaa unajiropekea tu.


Tatizo lako wewe unamuamini Biden na Netanyahu mimi siwamini.

We umezowea kudanganywa.

Mimi siamini Western media na viongozi wa Israel na media zao wapo wapo wengine huwa wa kweli labda 10%

Sa we niambie unae jisifu msomi una elimu gani? Wakati mimi sina hio elimu?
Mtu mjinga huwa anadhani wote wako chini yake kielimu, wakati ujinga wako umeuharisha hapo πŸ˜„
 
hahahahaha upo sawa
 
kwa bahati mbaya, ni mahakama isiyo na meno, haina uwezo kuifanya chochote, zaidi ya kutamka tu.
 
hahahahaha upo sawa
Msomi huwa hajisifu dogo anasifiwa na family yake, kazini kwao na kwenye nchi yao sio hapa kwenye fake ID πŸ˜„

Kwa hio we ni Professor wa kuchambua vidole vyetu hapa vina type
nini, unataka tukubaliana na ujinga wako unao uandika sio πŸ˜„
 
kwa bahati mbaya, ni mahakama isiyo na meno, haina uwezo kuifanya chochote, zaidi ya kutamka tu.
Hio mahakama ilikuwa inatumiwa kuonea nchi dhaifu, walipo fika kwa Putin tumeona ujinga wao, na walipo fika kwa Netanyahu tumeona ujinga wa USA ambaye alikuwa anaitumia mahakama kama tools ya kuwakandamiza madui zake.

America na Israel hawawezi kuwa wanasheria wakati wao ndio wanazivunja hizo sheria, hata UN na veto zao ni moja ya silaha wanayo tumia kwa maslaha yao tu.
 
Msomi huwa hajisifu dogo anasifiwa na family yake, kazini kwao na kwenye nchi yao sio hapa kwenye fake ID πŸ˜„

Kwa hio we ni Professor wa kuchambua vidole vyetu hapa vina type
nini, unataka tukubaliana na ujinga wako unao uandika sio πŸ˜„
hahahahaha nimecheka kwa sauti kubwa
 
usichanganye ICC na ICJ. ni vitu viwili tofauti. hiyo iliyotoa maneno ni ICJ. wao ICC walitoa amri kuchunguzwa kwa Putin na Netanyahu. ICC ikikukamata ina meno kwasababu wanayo hadi magereza ya kuweka mahabusu pale the hague. ila ICJ ni mahakama kati ya nchi na nchi na kwa Israel wameisema kama nchi hawana uwezo kumshitaki individual person au hata kumweka gerezani.
 
Mbona bado kichapo kiko pale pale!! Hiyo mahakama ni jibwa tu, zamu hii hafi Hamas waliko matumboni na makabulini waiogope Israel.
 
Netanyahu yupo Washington kuhutubia dunia. Waende wakamkamate
Toka umeanza kuhangaika na mahakama ni miezi sasa.ile ya South Africa maamuzi yake yalikuwaje? Jamaa wanaendelea kugonga tu....WANAKUAMBIA KAITE POLICE. Umehudhuria msiba wa Taifa kubwa la Iran? Tuletee na maamuzi ya mahakama ya South Africa, na ya hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…