Yaani mimi nikiambiwa "papuchi hadi ndoa" naweza kumpiga vibao huyo mwanamke.Kwanini akutest mtambo toka awali kwanza?
Mimi Ni mzoefu nikikucheki tu hivi najua una korodani size gani? Huniuzii mbuzi kwa gunia never
Uji unatengenezwa kwenye korodani Sasa korodani hamna maana yake no uji ni kupelekewa Moto mwanzoni mwishokwakweli mtihani sana..ndo mana kuna kuonjana jamani..[emoji48]
Sasa miaka 21 Rebeca alikuwa anaishi vipi? Huko chini kunakunywa uji?
Hakuwa na msaada kwenye tuta kweli? What has changed her mind now after 21 years? Kweli duniani kuna uchawiWewe ni Ebenezer. Nimejiuliza kweli. Aliimba huu wimbo wa shukrani,kumbe mmmewe hana corodani. Kweli Mungu ashukuriwe kwa kila hali.
[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa alipeleka wapi Pumbu au alizaliwa hivyo [emoji848]
Mwanamke alikuwa mpinga nyeto au alikuwa anachepuka.Wamekaa miaka 21 lakini. Kama ndoa ni mbususu tu walikuwa wanafanya nn miaka yote hiyo?
Mbususu kwenye ndoa ni ya muhimu ila kuna vingi vya muhimu pia na vikikosekana ndoa ipo mashakani. Mfano pesa. Ukiwa huna pesa kabisa mbususu nayo inakuwa kama haipo hivi.
Aisee mganga gani huyo ana masharti makali hivyo sii bora aombe mkaa wa mgomba kuliko kumuchukulia mtu mbupuz[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mganga ili wapate utajiri
Kabisa boss.Mwanamke alikuwa mpinga nyeto au alikuwa anachepuka.
Pesa kweli maana hizi mbusus zimekuwa for sell siku hizi.
Aliambiwa zitarudi halafu mganga akafa..[emoji29][emoji29][emoji29] wameishi kwenye ndoa miaka 21 lakini kati ya hiyo 18 hawajagongana kwa maana hiyo waliingia kwenye ndoa akiwa nazoAisee mganga gani huyo ana masharti makali hivyo sii bora aombe mkaa wa mgomba kuliko kumuchukulia mtu mbupuz
Hakimu atakuwa kamhurumia huyo mzee sana ndio maana kama mgawo mkubwa kampa yeye.Mgawanyo wa mali umenishangaza
Upo YouTube? Pamoja na bando za kupima ngona nikaucheki [emoji23]Wewe ni Ebenezer. Nimejiuliza kweli. Aliimba huu wimbo wa shukrani,kumbe mmmewe hana corodani. Kweli Mungu ashukuriwe kwa kila hali.
Jamani 21 years si ni umri wanu kabisa huu aiseee!... HahahahaDar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18.
Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo Bagamoyo, maduka mawili yaliyopo Bonyokwa na Mahengo na shamba la miti ya mikaratusi lililopo Kigoma zichukuliwe na Maselege na kiwanja kilichopo Madale kitabaki kwa Rebecca.
Hakimu Mkazi, Mwinyiheri Kondo alisema Mahakama imevunja ndoa hiyo baada ya kuona wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida.
Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.
Alisema kutokana na hilo, Mahakama hiyo imevunja ndoa hiyo, hivyo ndani ya siku 45 haki ya kukata rufaa kwa mdaiwa ipo wazi.
Katika kesi hiyo, Rebecca aliiomba Mahakama hiyo ivunje ndoa hiyo kisheria baada ya kuishi na mume wake kwa miaka 21 bila ya kushiriki tendo la ndoa.
Mwananchi
Duuh! inamaana korodani zikiwa kubwa kama vitenesi,inamaana unakua na nguvu za kiume hatari?hana korodani, maana yake hana nguvu za kiume.
Upo.Huu wimbo ni maarufu sana. "Mahali nimefika,nimeona wema wako,na sasa ninasema wewe ni ebeneza.Upo YouTube? Pamoja na bando za kupima ngona nikaucheki [emoji23]
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app