Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Ukristo hautaki hivyo, na hawa ni watumishiNdiyo maana wanawKe wanapenda kupelekewa moto kabla ya ndoa ili waone kama yaliyomo yamo!!!
DahDar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18.
Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo Bagamoyo, maduka mawili yaliyopo Bonyokwa na Mahengo na shamba la miti ya mikaratusi lililopo Kigoma zichukuliwe na Maselege na kiwanja kilichopo Madale kitabaki kwa Rebecca.
Hakimu Mkazi, Mwinyiheri Kondo alisema Mahakama imevunja ndoa hiyo baada ya kuona wanandoa hao wanafanya matendo ya ndoa ambayo si ya kawaida.
Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.
Alisema kutokana na hilo, Mahakama hiyo imevunja ndoa hiyo, hivyo ndani ya siku 45 haki ya kukata rufaa kwa mdaiwa ipo wazi.
Katika kesi hiyo, Rebecca aliiomba Mahakama hiyo ivunje ndoa hiyo kisheria baada ya kuishi na mume wake kwa miaka 21 bila ya kushiriki tendo la ndoa.
Mwananchi
Mkuu vp kumbe upo??Mkuu Hivi umesoma kilichoandikwa au nawewe umeamua kuja na nadharia zako tu?,pameandikwa ndoa imevunjwa baada ya kutofanya tendo la ndoa kwa miaka zaidi ya 18,wewe unasema amepelekewa moto akachoka ndo akaamua kuvunja ndoa,bure kabisa.
Wamekaa pamoja miaka 21, kuna jingine hapo.Ndiyo maana wanawKe wanapenda kupelekewa moto kabla ya ndoa ili waone kama yaliyomo yamo!!!
Mkuu nipo bado Allah ananijalia uzima,Mwache mh.apumzike salama,sioni busara kumsema sema.Mkuu vp kumbe upo??
Nlijua umezikwa na jiwe pamoja
Maana ulikua unalipenda Sana jiwe letu
Alikua anapigwa nje huyu
Si kukaguana au kulalana keanza kunatakiwa tu kuwa mjweki huyo mwanaume alikuwa tapeli Rebecca alitakiwa amburuze mahakamani na amdai fidia siku ya pili tu toka waoaneNa bi Rebecca akawa anavumilia tu, ndio maana kuna umuhimu wa kukaguana kabla ili kuona efficiency ya viungo vinavyofanya uwe mke na mume
Against nani???Muda wa kufungua kesi ingine
Hawa watoto wanataka watafuniwe kila kituHuwezi kusukuma
Odhis *
Daah,watu mnamipango ajabu?![emoji114]Angemnunulia Vibrator halafu siku za mwisho wa juma anazama chumvini
Ebenezer.....Mahali nimefika nimeona wema wako na sasa nina sema wewe ni EbenezerKaimba wimbo gani huyo Rebecca???
Alaah, kumbe ndiyee...Ebenezer.....Mahali nimefika nimeona wema wako na sasa nina sema wewe ni Ebenezer