Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Ni upumbavu tu wa wafuasi wa yule kibwetere aliekimbilia kwa amstwedam mkuu.Mbona sioni mahali ambapo serikali inahusika na kesi hii. Tujitahidi kutoongezea chumvi katika masuala ambayo serikali haihusiki vinginevyo umaarufu na ubora wa jamvi letu hili vitakuwa compromised. It's simply a commercial issue, period