Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Kwanini iwe Written? Ilitakiwa iwe Oral kila mtu asikie kile Jamhuri kinasema.
Siku ya kwanza waliulizana
LIsu aka opt kuwasilisha kwa oral na akasema kwa vile ni kesi nzito na kubwa anataka umma usikie akijetetea kwa njia ya mdomo na ana page 1,000.
Akina Katuga wao nadhani watawasilisha kwa maandishi baada ya Lissu kumaliza jana.
 
Kumbe maCCM ndio walisababisha Lissu ajitetee mwenyewe halafu wanakuja hapa kulialia bila sababu za msingi. Watulie awanyooshe ;wapuuzi wakubwa!
 
Tate Mkuu hizi wiki kadhaa amebanwa sana na majukumu ya kazi. Amewaachia siti ya mbele kwa moyo mkunjufu kabisa.
Mapolisi na mawakili wote wa serikali waliomo humu jukwaani wajifunze kitu kutokana na hii kesi ya Lissu.
Pamoja sana mkuu.
 
Hakuna binadamu aliye mkamilifu maswali aliyoulizwa Heche na majibu yake hayahusiani na uhaini wa Lisu. Wala uongo wake hauwezi kuchukuliwa kama kipimo cha shahidi ambaye haaminiki kwa sababu angeulizwa Brenda ,Aman , Mnyika na Heche kuwa Lissu ana miliki magari mangap halafu watofautiane idadi ingekua shida.
Lkn kuficha mali kwa shahidi hilo sio jambo lake
 
Kwani hii kesi inahusu magari mkuu? Hivi huko Lumumba mnafundishwa elimu au ujinga. Hebu jaribu kuficha ujinga wako japo kidogo mkuu.
wewe ndio mjinga hujui maana ya cross examination.
 
huu ujinga wa hali ya juu, mtu akihukumiwa msivyopenda mje hapa kutupigia kelele
 
Kumbe maCCM ndio walisababisha Lissu ajitetee mwenyewe halafu wanakuja hapa kulialia bila sababu za msingi. Watulie awanyooshe ;wapuuzi wakubwa!
Hata Sasa hivi mazingira ya kumuona ni magumu..
Mawakili hawazidi 7.. Kuna orodha maalum
Ndugu hawazidi 8 ..wakiongezeka inapigwa simu kwa mkuu wa gereza kujua ni nani huyo amekuja..
 
Huoni kama inaweza kutoa mwanya kuongeza vitu?
 
Hata Sasa hivi mazingira ya kumuona ni magumu..
Mawakili hawazidi 7.. Kuna orodha maalum
Ndugu hawazidi 8 ..wakiongezeka inapigwa simu kwa mkuu wa gereza kujua ni nani huyo amekuja..
Hii ni kinyume na haki za binadamu. Ndugu wana haki ya kumtembelea mahabusu bila kuwekewa ukomo. MiCCM ni mijitu ya kichoko na kiquma sana.
 
Mkuu upo kweli?
 
Mawaikili wa Jamhuri ni waoga sana na wanapenda njia za kujificha ficha.
 
wewe ndio mjinga hujui maana ya cross examination.
Ina wakili akifanya cross examination hata katika jambo ambalo halipo kwenye hati ya mashataka, hilo jambo linaingizwa kwenye mashtaka mkuu?

Basi huenda sijui maana ya cross examination. Hebu wewe tuambie. Kwa ufahamu wako, kama idadi ya magari ya Heche ni sehemu ya uhani wa Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…