Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Umechambua vizuri sana lakini kwa upande wa mashtaka wanasema kauli ile ya Tundu Lissu imeitisha Serikali lakini hapo hapo Lissu akawauliza Serikali ni pana Kuna Raisi, Mawaziri, TISS na wengine wengi lakini hao alipowahitaji waje watoe ushahidi wamekataa kutoa ili waoneshe wametishikaje so hata kwenye hiyo hoja pia amewabana
 
Noted
 
"Kama uhamuzi utakuwa Neno (the public) ni sahihi Basi Nchi Nzima iulizwe kwamba ilishawishika Kuhusu maneno ya LISSU aliyoyatoa", Mimi sikotayari kuthibitishiwa kwamba nilishawishika au la Kwa Mtu wa kificho.
Hata Mimi siko tayali kuthibitisha hayo ndugu Mwandishi. Naomba maelezo yangu yapokelewe na mahakama kama PDW 2
 
Lissu: Waheshimiwa Majaji: Tumeambiwa mara nyingi na Wakili wa Serikali, Katuga, kwamba β€œHii Mahakama siyo mama yetu.”

Pia namwambia, hii Mahakama siyo ya mama yake pia.

Msiikubali.

Waheshimiwa Majaji, nataka niwaeleze mashaka makubwa kwamba hii kesi imefunguliwa kinyume cha sheria.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kila la heri Mhe. TAL

Umeonesha jinsi mambo ya kisiasa yalivyogeuzwa Uhaini

Kesi hii inaenda kukubaliana na kauli ya Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo wa CCM Bwana Chacha kwamba Polisi, Mahakama n.k ni mali ya CCM πŸ™Œ
 
Mh Tundu Lissu !!!!!!!!!!!!!
Kutoka kufanya propaganda na Uchochezi!!
kumwita Rais ni Mzanzibari mwenye kututawala!!!!!
Tanganyika ya mfukoni mwake!!!!

Kutoka kudai Kipropaganda kichochezi Mzanzibar anauza rasilimali za Tanganyika ya mfukoni mwake!!!!!

Kutoka kuwaita kichonganishi kichochezi !!
MAJAJI ni MACCM

Leo yupo Lupango Mwaka na nusu
Hatusikii tena Uchochezi wa aina yoyote
neno Mzanzibar kutawala Tanganyika hatusikii

Neno la Uchochezi rasilimali kuuzwa nalo limepotea

Neno Majaji MACCM nalo limepotea kabisa!!!!!!

Badala yake !!!!!!!!!!!!

Leo tutasikia zaidi neno moja !! mara mia 500
Neno lipi ni Waheshimiwa Majaji
Waheshimiwa MAJAJI
Waheshimiwa Majaji
Waheshimiwa Majaji

Kazi ya Siasa ya Upinzani ni kudanganya Wananchi kadiri iwezekanavo!!!!!
 
Kama yeye sio muoga ni msema kweli

Ni mtetezi wa Haki
Sio tumbo lake nafsi yake!!!!

Kwanini pale pale !!
Mahakamani!!
Hasemi!!

Waheshimiwa Majaji wa CCM

Nelson Mandela alikuwa kanyooka maneno yake kasimama nayo popote mpaka Mahakamani
Sababu kaamini kile anakisema ni Kweli
Nikweli tupu.

Sasa uyo mnataka kumbebesha ETI nayeye ni Nelson Mandela wa Singida

Mbona hasimami na kauli zake !!!!!!
 
Lipigwa miti jingine linashobokea wanaume kutoka kwenye makorido ya Lumumba
 
Kapigwe miti kwenye makorido ya Lumumba Lissu hahitaji machoko
 
Ustadhi vijana wanasema wana ubwabwa sinia mbili na wataongeza tende kutoka soudia Arabia. Wakufuate inbox?
 
Jitambue kiakili
Lissu level yake ni Mchochezi sio
Mtetezi wa HAKI yoyote ile!!

Yupo kufarakanisha kuliko kutetea Haki za wengine !!!!!!!!!
 
Ona nyumbu wengine badala ya kujibu
Hoja

Wanatafuta majibizano wanayo yaweza nayo!!!
ni kutaja viungo vya Uzazi tu!!!!!

Ndio MAKAMANDA wasasa Chadema!!
chini ya Mwenyekiti mpya ndugu Lissu yasasa!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…