Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo
Walau sasa Nishati kutatakata kidogo..

January na Maharage walikuwa virusi na wahujumu wa taifa..

Naona ziara ya Mtwara imefyeka watumishi wengi sana. Madudu yalikuwa mengi bila shaka.
GOING BACK TO THE ROOTS:Kabla shetani wa uachama ,uswahiba,udugu hajajijenga Tanzania wakuu wa wilaya walitokana na Makatibu Taarafa.Wakurugenzi wa wilaya walitokana na mwekahazina wa wilaya.afisa miipango au afisa utumishi (watu wanaojua halmashauri vizuri).Hongera kwa katibu tarafa wa Mswaki.Kaonyeshe tofauti.
 
Ameharibu huku amemaliza ametafutiwa sehemu nyingine ya kwenda kuharibu, na kwa jinsi Ttcl ilivyo maji ya shingo naona inaenda kufariki mazima
Unamkumbuka timu nzima ya januari ilivyolalamikiwa mapema kabisa baada ya kupewa wizara ya nishati,kuanzia bodi hakuna hata mmoja aliekubalika na hiyo tumeishuhudia baada ya kufeli kwa kiasi kikubwa sana ndani ya miaka miwili nchi imeingia kwenye giza nene haijawahi kutokea tangu Uhuru sasa naona samia kaona aibu anawahamishia sehemu nyingine

HOVYO
 
Walau sasa Nishati kutatakata kidogo..

January na Maharage walikuwa virusi na wahujumu wa taifa..

Naona ziara ya Mtwara imefyeka watumishi wengi sana. Madudu yalikuwa mengi bila shaka.
Ungejuaa..[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom