Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo
Tulisema ni vigumu shamba boy (Dotto) Naibu Waziri Mkuu akae na Mtoto wa Mjini (Maharage). Ilikuwa lazima mmoja apishe na Kwa mazingira ya Sasa , Mtoto wa Mjini alikuwa lazimaa aende. TAIFA linapangwa upya
Hawa watoto wa mjini kwa asilimia kubwa ni mabogus hakuna mfano pale wanapokabidhiwa majukumu, bado nawaza ni kwanini hali iko hivyo.
 
Salim Kikeke form four alilamba Division 4 , kwenye ile shule iliyokuwa inamilikiwa na kanisa pale usa river arusha.

Yunus anamtafutia nafasi Salim Kikeke kuweni makini na wanaoswali Ijumaa
Kikeke.... kutokana na ' exposure' kidogo labda aliyonayo anaweza kujaribu, mradi apunguze ' selfie' kwenye mitandao......
 
Walau sasa Nishati kutatakata kidogo..

January na Maharage walikuwa virusi na wahujumu wa taifa..

Naona ziara ya Mtwara imefyeka watumishi wengi sana. Madudu yalikuwa mengi bila shaka.
Yawezekana ukawa na hoja but nakuhakikishia matatizo ya umeme nchi hayatakoma bila kufanya uwekezaji kweny sekta ya nishati ya umeme!! CCM washafeli kitambo san na tanesco yao, nakuhakikishia hata bwawa likianza uzalishaj umeme utakua ni changamoto tu!!
 
namkubali sana maharage, naomba mwenye picha yake huyu mwamba ametisha sana
 
Ikitokea kapewa Kitenge nitaamini kwamba hili taifa limeoza kwa kiwango cha mwisho kabisa na kwamba hakuna namna ya kulirekebisha zaidi ya mapinduzi.

Itakuwa ni dharau kubwa sana.
 
Ikitokea kapewa Kitenge nitaamini kwamba hili taifa limeoza kwa kiwango cha mwisho kabisa na kwamba hakuna namna ya kulirekebisha zaidi ya mapinduzi.

Itakuwa ni dharau kubwa sana.
Naunga mkono hoja
 
Wana uhakika kumuondoa uncle Maharage kutaleta umeme?
 
Back
Top Bottom