Kumtoa Ulanga TTCL ni kama kutaka kujaribu kuliua tena hilo shirika...

Ulanga naamini alikuwa mtu mwenye upeo sahihi wa kuihuisha TTCL baada ya Kindamba kulegalega...

TTCL ili ishindane na makampuni binafsi inahitaji mtu kichwa...
 
Mbona dstv alikuwa na ufanisi
Au kwa sababu ilikuwa private sector

Ova
DSTV hilo nalo shirika jamani.Kishirika kidogo,halafu offers zake sio basic needs kwa binadamu. Unaweza ukawa hauna DSTV na maisha yakaenda safi tu.Ila Tanesco hakuna mbadala. Halafu Umeme ni moja ya ni basic needs nchini .
 
No issue kapelekwa TTCL! A perfect place for him. Hizi sector nyeti kwa huduma za umma hazifai mtu mwenye too much business mind maana akili zinawaza zaidi revenue growth and fair trading! Umeme, maji na mafuta uzalendo kwanza alafu mengine baadae.
Hayo ni maoni yako
 
WANATUONA NYANI.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kwenye hii nchi, lolote linawezekana. Binafsi nina ushahidi wa watu wengi tu wenye uwezo wa kawaida kichwani. Ila kutokana na connection, wamepewa ulaji serikalini na pia kwenye mashirika mbalimbali.
Bora hata yule msemaji aliyepita alikuwa na degree.
 
Walau sasa Nishati kutatakata kidogo..

January na Maharage walikuwa virusi na wahujumu wa taifa..

Naona ziara ya Mtwara imefyeka watumishi wengi sana. Madudu yalikuwa mengi bila shaka.
Madudu yako kila Mahali
 
Bi Mariam Chaurembo namuona yupo vizuri daah Siasa bhana...wanawaacha watu Smart Kichwani aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…