Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Kitenge akiwa msemaji,wallah ninabadili hii ID Victoire na kuja na real ID Yangu.WallahMmoja kati ya hawa wawili ndiyo atakuwa ni msemaji wa hii serikali yako.
1. Salim Kikeke
2. Maulid Kitenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitenge akiwa msemaji,wallah ninabadili hii ID Victoire na kuja na real ID Yangu.WallahMmoja kati ya hawa wawili ndiyo atakuwa ni msemaji wa hii serikali yako.
1. Salim Kikeke
2. Maulid Kitenge
Mbona dstv alikuwa na ufanisiSawa,ila hana ufanisi.
Kwa kanuni ya mtu mmoja nafasi moja hapo ataacha mojawapoHabari wakuu? Ivi hapo kwenye Uteuzi wa Dr. Stephen Isaac Mwakajumilo imekaaje hii? Maana Dr Stephen ni mwenyekiti wa Chama Mkoa wa Mbeya! Na Sasa ameteuliwa kuwa DC tena.
Hahaha anaweza akapewa ohoooKitenge akiwa msemaji,wallah ninabadili hii ID Victoire na kuja na real ID Yangu.Wallah
DSTV hilo nalo shirika jamani.Kishirika kidogo,halafu offers zake sio basic needs kwa binadamu. Unaweza ukawa hauna DSTV na maisha yakaenda safi tu.Ila Tanesco hakuna mbadala. Halafu Umeme ni moja ya ni basic needs nchini .Mbona dstv alikuwa na ufanisi
Au kwa sababu ilikuwa private sector
Ova
Mbona dstv alikuwa na ufanisi
Au kwa sababu ilikuwa private sector
Ova
Hayo ni maoni yakoNo issue kapelekwa TTCL! A perfect place for him. Hizi sector nyeti kwa huduma za umma hazifai mtu mwenye too much business mind maana akili zinawaza zaidi revenue growth and fair trading! Umeme, maji na mafuta uzalendo kwanza alafu mengine baadae.
Kwenye hii nchi, lolote linawezekana. Binafsi nina ushahidi wa watu wengi tu wenye uwezo wa kawaida kichwani. Ila kutokana na connection, wamepewa ulaji serikalini na pia kwenye mashirika mbalimbali.Kitenge akiwa msemaji,wallah ninabadili hii ID Victoire na kuja na real ID Yangu.Wallah
Yaani kusema ukweli,Samia nitamuweka jalalani na kufunika rasmi.Walllah.Hahaha anaweza akapewa ohooo
Tz hii lopolopo cv tosha
Ova
WANATUONA NYANI.This is the huge Public deceiving ( shame kwa SHH), ivi kweli mtu kama Maharage kaharibu sehemu then anateuliwa tena sehemu kweli? Kweli jameni?
Kwamba kwa watanzania zaidi ya 20million wenye uwezo na sifa hawaonekani mpaka aliyeharibu point A kuhamishiwa point B kweli? Kweli SHH?
This proves the fact kwamba , Maharage alitumwa kukwapua na kahamishiwa TTCL akaharibu then aje na wazo la kubinafsisha, CCM ni zaidi ya ukoo wa Panya.
Huyu mwamba yangefanyika mawili kama angekuwa kwenye nchi zenye viongozi na uongozi, sio hawa wachumia tumbo,
Mosi, astaafishwe for the public interests
Pili, afunguliwe mashtaka maana tuhuma zake zinathibitika vizuri tu.
Haya yote yana mwisho.
Bora hata yule msemaji aliyepita alikuwa na degree.Kwenye hii nchi, lolote linawezekana. Binafsi nina ushahidi wa watu wengi tu wenye uwezo wa kawaida kichwani. Ila kutokana na connection, wamepewa ulaji serikalini na pia kwenye mashirika mbalimbali.
Hahaaaa!! /wake walikuwa Aki na UKWATTCL ijiandae kufa kwa mala ya pili...
Maharage kaja...
Kwanini hajapelekwa mambo ya nje kwa msanii mwenzake?
Madudu yako kila MahaliWalau sasa Nishati kutatakata kidogo..
January na Maharage walikuwa virusi na wahujumu wa taifa..
Naona ziara ya Mtwara imefyeka watumishi wengi sana. Madudu yalikuwa mengi bila shaka.
Salim usela umezidi alafu pia Hangaya hamkubali kivile maana interviews zake nyingi akiwa anamuhoji pale BBC zilikuwa zinamfanya madam aonekane mweupe kichwani na mwisho wa interview alikuwa anafura kweli kweliNaona nafasi ya salim kikeke ipo wazi kabisa pale ikulu
Kama haupo kwenye chama chao huwezi kupata hizo nafasi hata usome vipiMaharage ameboronga TANESCO lakini bado anapewa ukurugenzi kwingine....ina maana hakuna wasomi wengine Tanzania hii wenye weledi!?.