Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Akiingia kwenye hiyo nafasi naye atakuwa boya tu.Naona nafasi ya salim kikeke ipo wazi kabisa pale ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiingia kwenye hiyo nafasi naye atakuwa boya tu.Naona nafasi ya salim kikeke ipo wazi kabisa pale ikulu
Alikikua na Degree ya nini!!??Bora hata yule msemaji aliyepita alikuwa na degree.
Mtu darasa la saba kama Kitenge apewe kitengo kweli?Naona Kikeke au Kitenge akipewa nafasi ya usemaji ila hasa hasa anaweza kupewa Kitenge kwa sababu amesimama sanana udhalimu wa Liliondo akifanya coveragw kubwa sana kuwafunika wauaji.
Nimekaa pale
Watakuwa wametudharau sana watanzania.Ikitokea kapewa Kitenge nitaamini kwamba hili taifa limeoza kwa kiwango cha mwisho kabisa na kwamba hakuna namna ya kulirekebisha zaidi ya mapinduzi.
Itakuwa ni dharau kubwa sana.
Lakini dstv tz iko chini ya mbongoSababu ni private sector na marketing strategy ya sehemu kama DSTV mchoro wake hutoka kwa makaburu, hizi sub offices zinakuwa zinafuata tu...
Ile kuhusu katiba[emoji23][emoji23]Salim usela umezidi alafu pia Hangaya hamkubali kivile maana interviews zake nyingi akiwa anamuhoji pale BBC zilikuwa zinamfanya madam aonekane mweupe kichwani na mwisho wa interview alikuwa anafura kweli kweli
Hangaya alimind sana siku ile.Ile kuhusu katiba[emoji23][emoji23]
Eti watanzania wanasema wametaka katiba mpya
Wamekuambia wewe?[emoji1787]
Ngoja tuone kama umeme hauta katika katika tena.𝑨𝒍𝒊𝒍𝒊𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝑺𝒉𝒊𝒓𝒊𝒌𝒂 𝒍𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒎𝒆 𝑻𝒂𝒏𝒛𝒂𝒏𝒊𝒂 𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒍𝒂 𝒉𝒐𝒗𝒚𝒐. 𝑺𝒂𝒔𝒂 𝒂𝒎𝒆𝒉𝒂𝒎𝒊𝒔𝒉𝒘𝒂 𝒌𝒘𝒊𝒏𝒈𝒊𝒏𝒆 𝒊𝒍𝒊 𝒂𝒌𝒂𝒇𝒂𝒏𝒚𝒆 𝒚𝒂 𝒉𝒐𝒗𝒚𝒐!
Mwache akaonyeshe uwozo wake pengine kulikua na external influence ya aliyemweka ie makamba, kwa vile Sasa kamaminiwa na rais Moja kwa Moja ataonyesha uwezo.This is the huge Public deceiving ( shame kwa SHH), ivi kweli mtu kama Maharage kaharibu sehemu then anateuliwa tena sehemu kweli? Kweli jameni?
Kwamba kwa watanzania zaidi ya 20million wenye uwezo na sifa hawaonekani mpaka aliyeharibu point A kuhamishiwa point B kweli? Kweli SHH?
This proves the fact kwamba , Maharage alitumwa kukwapua na kahamishiwa TTCL akaharibu then aje na wazo la kubinafsisha, CCM ni zaidi ya ukoo wa Panya.
Huyu mwamba yangefanyika mawili kama angekuwa kwenye nchi zenye viongozi na uongozi, sio hawa wachumia tumbo,
Mosi, astaafishwe for the public interests
Pili, afunguliwe mashtaka maana tuhuma zake zinathibitika vizuri tu.
Haya yote yana mwisho.
Mwambie hata DSTV Iko hoi bin taaban. Ilikuwa kidogo tu ifungweDSTV hilo nalo shirika jamani.Kishirika kidogo,halafu offers zake sio basic needs kwa binadamu. Unaweza ukawa hauna DSTV na maisha yakaenda safi tu.Ila Tanesco hakuna mbadala. Halafu Umeme ni moja ya ni basic needs nchini .
Mbona kabla ya wao kuingia ulikwepo?Ukiniuliza ni nini kimetokea nasema 'Hayo ni Mazingaombwe tu'
....Ndio umeme utapatikana?
Watafuteni wahujumu, wapo miongoni mwenu.