Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

Huna lolote wewe kiazi unalolijua,Ni mpumbavu tuu usiyejielewa.

Kati ya wewe ,Tanesco na Wahariri Ni wwpi wanaaminika?
 
Sasa Kama ulikuwa na jibu lako kichwani ulitegemea Nini?
 
Kwa iyo kukatika kwa umeme kunatokana na Rais na watendaji wake?
 
Projects ni priority with time...
1. Ajira zimetolewa ( miaka 5 hakukua na ajira)- afya+ elimu
2. Mashule+ hospitali zimejengwa kila kijiji
3. Mbolea za ruzuku+ masoko kwa wakulima
Hivyo vyote visingeweza kusubiri bwawa likamilike....
Ndivyo yule mjinga Mwendazake alivyokuwa anaendesha Nchi kienyehi kwa kuharibu sekta zingine.
 
Miradi itegemeayo mvua haifai
Nchi hii wajinga wengi sana. Ndugu zao kila siku wapo maporini huko kuharibu mazingira na kukata miti kiasi ambacho mvua zimekuwa kizungumkuti alafu wanakuja humu kusema eti Rais na watendaji hawafai

Ukiwauliza kama Rais na watendaji ndo wanawajibika kuleta mvua na kujaza mabwawa ili kusiwe na mgao wa umeme na maji yanaishia kubwabwaja tu
 
Of course alikuwa mpuuzi ndio,Hakunaga Umeme wa chanzo kimoja haupo..

Ukomae na Maji afu Uje ukame uanze Tena kuhangaika? China Ukame umepiga bwawa kubwa kabisa na kusababisha Mgao,huo Ni upuuzi..

Go expensive but reliable..Hapo Kenya umeme 90% Ni renewable na Hakuna Cha Maji na Mambo yanaenda..

Kimsingi wewe Ni mjinga,Tanesco wameaema watawekeza kwenye vyanzo vya uhakika hasa gas na joto ardhi ili wawe na umeme mwingi na wauze huko SADC ambako Bei Ni Juu na pesq watakazopata huko ndio zije kuendeshwa shirika kwa faida na kukusaidia wewe maskini unaedhani 230,000 yako na 27,000 Ni Bei kubwa..

This is big brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…