ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #81
Baaasiiiiiiiii Platinum jana ilikua weekendUmalaya ni kitu cha kufikirika. Hakuna binadamu malaya, ni neno/dhana tuu imewekwa kwa ajili ya kumtenga binadamu na nature yake ya kujamiiana kama kiumbe hai. Umalaya haupimiki, wala hauna kikomo na wala haupo.
Unashauri nini kifanyike?Tanzania Ngumu Sana Yaani Kila Eneo
Msiwe serious sanaAkhaaa huachii😂😂
Hapo ujue mwanaume anakuwa na shida, kwanini mkeo apeleke kipochi manyoya na makebo nje na mumewe?Unapanga mipango naye alafu kipochi manyoaa na makebu anakipeleka kwa mkosa mipango
Uwiiiiii sasa si mahusiano ndio huzaa ndoaKosa la kimkakati mnalofanya wadogo zangu ni kutafuta mtu sahihi wa kua nae kwenye mahusiano.
Kutulizana Maana Unayemtafuta Anataka Kwanza AlowekeUnashauri nini kifanyike?
Sawa mkuu asante kwa maoni karibu tenaUmalaya ni kule kushirikisha baiolojia mara kwa mara, nje ya baiolojia hamna shida
Sawa tutaachaMsiwe serious sana
ahahahahahaaaa yani kama ana makebo ndo balaa mkuu, kama ni mimi nakuwa busy tu kusoma zaburi 103 halafu na meditate!hahaha ambaye anayeweza ni malaika pekee sisi vijan akiachama tu tunafunga maombi
Heh we mzee 😂😂🙌🙌Hapo ujue mwanaume anakuwa na shida, kwanini mkeo apeleke kipochi manyoya na makebo nje na mumewe?
Mara zote kosa hili linaanza tangu siku ya kwanza unakutana na mkeo. Hakikisha unamt****mba mkeo kisawasawa hadi yy mwenyewe aseme mmmh! hapa kweli nimeolewa. Ujue heshima kubwa sana ya mwanamke kwa mume wake inaanzia kwenye namna mume anavyomkung'uta ubooor mkewe kiasi cha kumfanya ajue kwa hakika huyu ni mume wangu.
Hayo majukumu mengine yanafusta baada kwanza ya hili tukio
Ni kweli kabisa mkuuKutulizana Maana Unayemtafuta Anataka Kwanza Aloweke
Utajikuta Umetoa Kwa Kijiji
Kwani wanaonjwa onjwa? Wanaliwa kabisa.Hakuna mtu perfect. Ila kuonjwa onjwa ni mbaya.
Na kuwa wakweli tangu mwanzo wa kuanza kufahamiana. Unaiona tabia fulani kwa mwenza wako ambayo unajijua fika kwako haivumiliki....sema naye mapema usingoje eti atabadilika mbele ya safariKabisa kabisa ndoa ni zaidi ya jigijigi
Kabisa ni kweli tupu mzeeNa kuwa wakweli tangu mwanzo wa kuanza kufahamiana. Unaiona tabia fulani kwa mwenza wako ambayo unajijua fika kwako haivumiliki....sema naye mapema usingoje eti atabadilika mbele ya safari
Mtu sahihi unakutana nae tu iwe kwenye harakati au popote.Uwiiiiii sasa si mahusiano ndio huzaa ndoa
Ni kweli kabisaMtu sahihi unakutana nae tu iwe kwenye harakati au popote.
Vyote si nzuri kwao. Akifika 40 anakuwa hafai. Tena kama hana pesa ndo mbaya zaidi.Kwani wanaonjwa onjwa? Wanaliwa kabisa.
Hapa unaongelea wanawake tu?Vyote si nzuri kwao. Akifika 40 anakuwa hafai. Tena kama hana pesa ndo mbaya zaidi.
hii nimeipendaaa sanaMilango bado ipo wazi mshindi atasaini cheti cha ndoa.
Baaasiiiiiiiii Platinum jana ilikua weekend
Ndani ya mada kumbe umalaya ni jambo la kusadikika🙄