Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

Kuna kitu watu wengi wanakichanganya hapa. Kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara hakumaanishi moja kwa moja ni umalaya, lakini pia hakumaanishi moja kwa moja kuwa unafanya jambo sahihi. Kila kitu kinategemea sababu na matokeo yake.

Kama kila baada ya muda fulani ni lazima uwe na mahusiano mapya kwa kisingizio cha kusema haujampata anayekufaa au anayeendana na wewe, itafika mahali swali litabadilika, kwamba ni kweli dunia imejaa watu wasiokufaa, au umejenga kiwango cha kutoridhika ambacho hakuna binadamu anayeweza kukifikia?

Unajua tatizo walilo nalo wengi ni kuwa na matarajio yasiyo halisi au tabia ya kukimbia changamoto badala ya kuzitatua.

Experience niliyo nayo mimi ni kwamba watu wengine huwa hawaingii kwenye mahusiano kwa ajili ya kujengana, wengi huwa wanaingia kwa ajili ya kukagua makosa ya mwenzake, matokeo yake, kosa dogo tu linakuwa sababu ya mtu kwenda kutafuta mahusiano mengine, matokeo yake huyo mtu anajikuta amekuwa na orodha ndefu sana ya Maex

Huwezi kuwa unabadilisha watu kila baada ya muda fulani halafu ukategemea matokeo yatabadilika wakati mtazamo na tabia zako ni zilezile.

Kutafuta mtu sahihi ni jambo la kawaida lakini kutokudumu na mtu yeyote kwa kisingizio cha kutokuendana hilo ni tatizo, na huenda hujajifunza maana halisi ya commitment, patience na compromise.
 
Wewe dada wewee wewee unasema 😳😳

Nawasikiliza tu hapa mnapimana nn sijui mara hutakiwi kuomba hela ukae kwenye mahusiano miaka bila ndoa unatafuta mume sahihi.

We siku Ukihisi unahitaji ndoa we Ingia kwenye mahusiano na moto mpaka ndoa ifungwe.
Ndoa huku ndani ni uvumilivu tu sasa unavumilia hawara nn???

Kubadili wanaume si umalaya!!!!! Kwanza ndio unapata pia kuujua na mwili wako vizuri na ukishaujua hakuna mwanaume atakusumbua wala kukuchafua ovyo.

Hii comment yangu pia ni kutokana na mada na baadhi ya comment nilizosoma
 
Eeeeh mimi nani nikupinge mzee na umeona jua kabla yangu
Mimi nasema igweeeeeeπŸ”₯πŸ”₯🀣🀣🀣
Hahahahaaaa
Acha basi mie binti yako naona aibu uwiiiiiii🫣
Unanikumbusha binti yangu wakati anakua (kavunja ungo) ,kaanza kupata siku zake za Mwezi, akawa ananionea aibu. Nikamkalisha yeye na mama yake akiwapo nikamdadavulia A to Z kwa kumueleza .....binti yangu sasa umekua, mwili wako umebadilika sio wa utotoni kama zamani, utaona siku zako, utahitaji taulo za kike (mama yako atakufunza ) namna ya kuzitumia na kuziteketeza.

Nikamueleza mengi, kubwa kuliko nilimuasa sana kuhusu kupata mimba bila mipango......alikuwa akiona aibu nampa makavu hadi nilipotoka akawa anaongea na mama yake anamuambia mmmhhhh!...Yan baba yangu anaongea mambo yote haoni aibu. Mama yake akamuambia mshukuru anakueleza hayo yote kwaajili yako
Aisee sijui unifunde kama binti yako
Nikimpata nimshike ☺️
Asije akakuongopea mtu yyt, mwanaume asiyemkaza kisawasawa mkewe anamuweka matatani hasa ikitokea akampata mwanaume wa nje akamfanya vilivyo!!!! ndoa inaishia hapo hapo.

Ukimpata mwanaume ambaye kwenye vigezo vyako unaona mnaweza kuishi pamoja olewa naye. Lakini nakupa siri.......kamwe katu asilani hakikisha unamkamatia vilivyo kwa kumpa " chiu " maana hapo ndipo Kuna Siri kubwa sana iliyofichika ya kutulegeza sisi wanaume. Mwanaume hata awe mbabe namna gani lakini mbele ya "chiu" wa mwanamke lazima atulie tu
 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Habari za mchana wadau mimi kwa upande wangu kuwa na mahusiano mengi wengi tunaingia kwenye hali hiyo kwasababu tunapenda kuingia katika mahusiano na kufanya mapenzi haraka paspo kupeana muda mrefu wa kujuana tabia mara baada ya kufanya tendo matamanio huishi na kuanza kuzoeana ...
 
Kuna kitu watu wengi wanakichanganya hapa. Kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara hakumaanishi moja kwa moja ni umalaya, lakini pia hakumaanishi moja kwa moja kuwa unafanya jambo sahihi. Kila kitu kinategemea sababu na matokeo yake.
Sawa
Ohoo okay
Unajua tatizo walilo nalo wengi ni kuwa na matarajio yasiyo halisi au tabia ya kukimbia changamoto badala ya kuzitatua.
Kuna matatizo hayatibiki zaidi ya kukaribisha msongo wa mawazo
Sina experience sana hapa kwakweli
Ngoja tuiache kama ilivyo
Huwezi kuwa unabadilisha watu kila baada ya muda fulani halafu ukategemea matokeo yatabadilika wakati mtazamo na tabia zako ni zilezile.
Kukumbatia watu ndio kunabadili matokeo ?
Kutafuta mtu sahihi ni jambo la kawaida lakini kutokudumu na mtu yeyote kwa kisingizio cha kutokuendana hilo ni tatizo, na huenda hujajifunza maana halisi ya commitment, patience na compromise.
Kutodumu na mtu msie na mitazamo sawa sioni tatizo lolote kabisa

Kuna vitu huwezi kumbadili mtu hata iweje

Nachoona mimi ni bora sana kua na mtu walau mnaenda hata ka asilimia 70 hizo 30 mtavumiliana na kujengana
 
Kuvumilia hawala hii nayo inafikirisha
Kubadili wanaume si umalaya!!!!! Kwanza ndio unapata pia kuujua na mwili wako vizuri na ukishaujua hakuna mwanaume atakusumbua wala kukuchafua ovyo.
Utapigwa mawe dada 🀣🀣
Hii comment yangu pia ni kutokana na mada na baadhi ya comment nilizosoma
Sawa mahi
 
Ni umalaya Tu
 
Kwahiyo hapa tatizo ni nini maana hujasema hiyo sababu
 
Hii ndio kusema ukweli na uhakika
Hongera sana ni wachache wanaweza hivyo
Asije akakuongopea mtu yyt, mwanaume asiyemkaza kisawasawa mkewe anamuweka matatani hasa ikitokea akampata mwanaume wa nje akamfanya vilivyo!!!! ndoa inaishia hapo hapo.
Aisee mtu apewe okay
Asante sana mzee japo nasoma huku nacheka 🀣🀣🀣πŸ₯Ή
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…