Majasusi wa Tanzania fungueni macho. Teueni watu wenye uwezo sio kwa kujuana

Uzi mzuri ,ila ulipo taja jina la Lissu na Muhongo nikadharau kabisa kichwa chako
 
Kama huelewi mleta uzi nini mantiki yake ni bora ukapita kimyakimya kuficha upumbavu wako,"chawa wahed"
 
Wawe wanagoma kuingiliwa. Wanakwama wapi hao watu?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Mkuu elewa mle wapo wanaojipendekeza Sana, so mmoja mmoja ambae anajua nini miiko ya KAZI yake akigundulika ndo anakua mbaya kwao badala ya kupewa moyo, so kukataa ni ngum,
Sema tu Tukipata katiba mpya amboyo inaweza kutoa mipaka yao ya KAZI , na SHERIA zao kubadilishwa WENDA tukawa na kitengo kizuri, na ndo hapo utaona vipaji vya watu
 
Uko sahihi Katiba Mpya katiba Bora ndio Mwarobain itakayolinda na wale wachachwe ambao badp wana moyo
 
Kwa mara ya kwanza Tangu nikujue umeandika Uzi wenye Content ya maana.

Nimekuwa nikikuona ukimchukia Lissu tangu hapo awali. Hongera kwa kutambua Uwezo wake.

Lissu unaweza kumchukia lakini Uwezo wake uko pale pale
 
Mnapoteza muda kutaka kuokoa jahazi ambalo tayari limeshaanza kuzama. Tanzania ilishapoteza mwelekeo kitambo sana, haya tunayoyaishi leo ni matokeo tu. Ukweli ambao wengi hamtaki kuusikia ni kwamba, walioiharibu Tanzania vijana wa Mzee Nyerere aliowasomesha bure kwa kodi za wananchi.

Kubwa zaidi ni kwamba mipango na maamuzi makubwa ya nchi bado yanaratibiwa na kunafanywa na wazee ambao ndiyo walikuwa vijana wa Nyerere. Hao vijana wa sasa ni PROXIES TU, wamekuja miaka ya juzi tu, na isitoshe hawana maamuzi makubwa zaidi ya kufuata maelekezo.

Jambo lingine muhimu ambalo hampendi kulizungumza kwa uwazi ni kwamba Mzee Nyerere alianza vizuri na kumaliza vibaya. Matukio ya Mzee Nyerere na sera zake, kuanzia mwaka 1990-1999 ndivyo vinaligharimu taifa la Tanzania, na vitaendelea kuligharimu kwa vizazi vingi vijavyo.
 
Kwa hiyo kama TISS hawana uwezo kumuweka Rais madarakani pia hawana uwezo wa kumtoa Rais chizi madarakani au kwenye kinyang,anyiro.....!
Puwa puwa Kabisa....
 
Tuchape KAZI, ... tuachane ña njozi za TISS blah blah blah!
Yaani Bongo kila kijana anataka awe James Bond 😅😅😅
JW IMARA INATOSHA! ... UTAALAM HUJENGWA NA MAPAMBANO!
 
TumainiEl Ndugu yangu,
Huwezi kuinua viongozi bora kama huinui wafuasi bora! You cannot have effective leaders if you do not have effective followers.
 
Tukitawaliwa kwa AMRI moja Kutoka kambini Kwa 2 yrs itatosha kujenga backbone vizuri.

Tutaweza kufuta mikataba yote iloingiwa kihuni na viongozi madalali.

Tutaweza kuondoa Kwa kiasi kikubwa mapandikizi ktk idara na nafasi mbalimbali nyeti.

Ameeeen.
 
kubwa jinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…