Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani unaombwa hela kidogo tu Kama sh laki 5 halafu unauliza ya kufanyia nini? Siku hiyo hiyo utaachwa. Kwani unadhani mkeo ni kichaa, anakuomba pasipo sabb?
2. Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa.
Yaani, mkeo ana shida zake halafu unanamwambia asubiri? Atasubirije wakati ana shida muda huu? Atakuacha kwa speed ya 4G
3. Mbona nimekupatia wiki iliopita tu?
Kwani mkeo ni mtoto mdogo mpk uulize swali hili? Utaachwa.
4. Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo? Si umemuoa ili umtunze? Unajua maana ya kutunza? Mshahara ama biashara yake havikuhusu.
Kazi yako ni kutoa hela hata kabla ya kuombwa. Kama huwezi bora usioe.