Majibu manne ya wanaume kwa wake zao yanayovunja ndoa

Yaani humu kuna watu ni hovyo kabisa kwahiyo wanaotimiza kila kitu kwa wake zao hawaachani?
 
Uko serious kabisa laki 5 Ni pesa ndogo mno kwamba haistahili kuhojiwa?[emoji848]
Yaani yeye muombe hata alfu kumi anayo mpaka atanue paja na zitafikia sehemu zitachoka zitachakaa Mana kila mwaka vijana wa six wanamaliza bado hawajatumika na bado bikra.
Mfano aulizwe Sasa Kama aliolewa akiwa na bikra ama ilitokaje.
Kabla ya kuolewa aliwakubalia wanaume wangapi
 
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.

Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno

1. Unataka kufanyia nini?
Yaani unaombwa hela kidogo tu Kama sh laki 5 halafu unauliza ya kufanyia nini? Siku hiyo hiyo utaachwa. Kwani unadhani mkeo ni kichaa, anakuomba pasipo sabb?

2. Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa.
Yaani, mkeo ana shida zake halafu unanamwambia asubiri? Atasubirije wakati ana shida muda huu? Atakuacha kwa speed ya 4G

3. Mbona nimekupatia wiki iliopita tu?
Kwani mkeo ni mtoto mdogo mpk uulize swali hili? Utaachwa.

4. Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo? Si umemuoa ili umtunze? Unajua maana ya kutunza? Mshahara ama biashara yake havikuhusu.

Kazi yako ni kutoa hela hata kabla ya kuombwa. Kama huwezi bora usioe.
Kila ulichoandika sijaona point mkuu, tafakar upya ma uje na hoja Shawishi, kama sio kuchangamsha genge
 
Labda kama mwanaume haujiamini, yote hayo uliyotaja hapo juu nauliza na hakuna kitu mwanamke anafanya, shida wanawake mnawaona kama mayai.

Yanu uniombe 500K nikupe bila kuuliza kwa kuogopa utavunja ndoa? Kamuombr baba yako kama ni rahisi.

Kwanza siwezi kuwa na mwanamke ambaye haongezi thamani yoyote kwenye maisha yangu, maana kama issue ni shimo alilo nalo ninaweza kulipata sehemu yoyote ile.
Well spoken. Shimo ukiingia tinder unapata
 
FB_IMG_16295289696710184.jpg
 
mtoa mada ni mwehu naona hadi wanawake wenzake wanamshangaa.
Nimeona ndoa za namna hiyo uarabuni.
Kwa sasahivi mtazamo wa kisasa wa ndoa ni kusaidiana ndio maana wanawake waelewa wanajishughulisha sana kupata kipato cha kussuport familia.
 
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.

Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno

1. Unataka kufanyia nini?
Yaani unaombwa hela kidogo tu Kama sh laki 5 halafu unauliza ya kufanyia nini? Siku hiyo hiyo utaachwa. Kwani unadhani mkeo ni kichaa, anakuomba pasipo sabb?

2. Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa.
Yaani, mkeo ana shida zake halafu unanamwambia asubiri? Atasubirije wakati ana shida muda huu? Atakuacha kwa speed ya 4G

3. Mbona nimekupatia wiki iliopita tu?
Kwani mkeo ni mtoto mdogo mpk uulize swali hili? Utaachwa.

4. Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo? Si umemuoa ili umtunze? Unajua maana ya kutunza? Mshahara ama biashara yake havikuhusu.

Kazi yako ni kutoa hela hata kabla ya kuombwa. Kama huwezi bora usioe.
Ww ni miongoni mwa wanawake.Wajinga kuwahi kutokea hapa duniani

Mjinga mjinga mjinga
 
Mwanamke ambaye kipato chake hakijulikani hafai kutolewa sababu wakati wa kugawana mali huwa hakuna kuangalia wote zinapigwa pasu alivhangia au hajachangia hivyo kila mtu achangie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.

Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno

1. Unataka kufanyia nini?
Yaani unaombwa hela kidogo tu Kama sh laki 5 halafu unauliza ya kufanyia nini? Siku hiyo hiyo utaachwa. Kwani unadhani mkeo ni kichaa, anakuomba pasipo sabb?

2. Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa.
Yaani, mkeo ana shida zake halafu unanamwambia asubiri? Atasubirije wakati ana shida muda huu? Atakuacha kwa speed ya 4G

3. Mbona nimekupatia wiki iliopita tu?
Kwani mkeo ni mtoto mdogo mpk uulize swali hili? Utaachwa.

4. Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo? Si umemuoa ili umtunze? Unajua maana ya kutunza? Mshahara ama biashara yake havikuhusu.

Kazi yako ni kutoa hela hata kabla ya kuombwa. Kama huwezi bora usioe.
Mwanamke mwenye akili timamu hawezi kuvunja ndoa yake kwa vitu vidogo namna hiyo.
 
Back
Top Bottom