Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
Sexless hujielewi. Point yako ya kwanza tu unaonekana BRAINLESS wala sio SEXLESS tu.Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi...
Eti unasema mke anakuomba hela ndogo tu (Laki 5)!! Kwa hiyo we kwa kuwa kipato chako kinakupa mtazamo wa laki tano kuwa hela ndogo unataka ionekane ndogo pia kwa kila mtu na unatoa conclusion kabisa?
Unajua kuna watu hata huo mshahara wa mwezi tu haufiki laki 5?
ACHA DHARAU WEWE!