Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati iliyo njema nikwamba huu utapeli tushaushtukia. Sio pesa yake ni pesa ya familia.Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo?
Mwanamke ndiyo nguzo ya ndoaKwahiyo huamini kwamba mwanaume ana mchango kwenye ndoa kuvunijika?
Akili za machangu ndivyo zilivyoKwa hiyo ukiombwa hela ni kutoa tu bila kuuliza
Ungelikuwa karibu yangu ningelikunasa mabanzi yasiyo na idadi [emoji34][emoji34]Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani unaombwa hela kidogo tu Kama sh laki 5 halafu unauliza ya kufanyia nini? Siku hiyo hiyo utaachwa. Kwani unadhani mkeo ni kichaa, anakuomba pasipo sabb?
2. Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa.
Yaani, mkeo ana shida zake halafu unanamwambia asubiri? Atasubirije wakati ana shida muda huu? Atakuacha kwa speed ya 4G
3. Mbona nimekupatia wiki iliopita tu?
Kwani mkeo ni mtoto mdogo mpk uulize swali hili? Utaachwa.
4. Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo? Si umemuoa ili umtunze? Unajua maana ya kutunza? Mshahara ama biashara yake havikuhusu.
Kazi yako ni kutoa hela hata kabla ya kuombwa. Kama huwezi bora usioe.
Boea tusioe tuu maana maziwa yenyewe yanapatikana...no need ya kufuga ng'ombe hiziMwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani unaombwa hela kidogo tu Kama sh laki 5 halafu unauliza ya kufanyia nini? Siku hiyo hiyo utaachwa. Kwani unadhani mkeo ni kichaa, anakuomba pasipo sabb?
2. Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa.
Yaani, mkeo ana shida zake halafu unanamwambia asubiri? Atasubirije wakati ana shida muda huu? Atakuacha kwa speed ya 4G
3. Mbona nimekupatia wiki iliopita tu?
Kwani mkeo ni mtoto mdogo mpk uulize swali hili? Utaachwa.
4. Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo? Si umemuoa ili umtunze? Unajua maana ya kutunza? Mshahara ama biashara yake havikuhusu.
Kazi yako ni kutoa hela hata kabla ya kuombwa. Kama huwezi bora usioe.
Samahani mkuu....Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani unaombwa hela kidogo tu Kama sh laki 5 halafu unauliza ya kufanyia nini? Siku hiyo hiyo utaachwa. Kwani unadhani mkeo ni kichaa, anakuomba pasipo sabb?
2. Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa.
Yaani, mkeo ana shida zake halafu unanamwambia asubiri? Atasubirije wakati ana shida muda huu? Atakuacha kwa speed ya 4G
3. Mbona nimekupatia wiki iliopita tu?
Kwani mkeo ni mtoto mdogo mpk uulize swali hili? Utaachwa.
4. Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo? Si umemuoa ili umtunze? Unajua maana ya kutunza? Mshahara ama biashara yake havikuhusu.
Kazi yako ni kutoa hela hata kabla ya kuombwa. Kama huwezi bora usioe.
Jiongeze mkuu...😂Hiv hii mada imeandikwa na mwanaume kweli au mwanamke kweli?
Sahamani mbona umeandika kama mwanaume halafu tena umeandika neno Ebo kama shangingi fulani hivi.Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani unaombwa hela kidogo tu Kama sh laki 5 halafu unauliza ya kufanyia nini? Siku hiyo hiyo utaachwa. Kwani unadhani mkeo ni kichaa, anakuomba pasipo sabb?
2. Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa.
Yaani, mkeo ana shida zake halafu unanamwambia asubiri? Atasubirije wakati ana shida muda huu? Atakuacha kwa speed ya 4G
3. Mbona nimekupatia wiki iliopita tu?
Kwani mkeo ni mtoto mdogo mpk uulize swali hili? Utaachwa.
4. Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo? Si umemuoa ili umtunze? Unajua maana ya kutunza? Mshahara ama biashara yake havikuhusu.
Kazi yako ni kutoa hela hata kabla ya kuombwa. Kama huwezi bora usioe.
Aiseeeee !!!!Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani unaombwa hela kidogo tu Kama sh laki 5 halafu unauliza ya kufanyia nini? Siku hiyo hiyo utaachwa. Kwani unadhani mkeo ni kichaa, anakuomba pasipo sabb?
2. Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa.
Yaani, mkeo ana shida zake halafu unanamwambia asubiri? Atasubirije wakati ana shida muda huu? Atakuacha kwa speed ya 4G
3. Mbona nimekupatia wiki iliopita tu?
Kwani mkeo ni mtoto mdogo mpk uulize swali hili? Utaachwa.
4. Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo? Si umemuoa ili umtunze? Unajua maana ya kutunza? Mshahara ama biashara yake havikuhusu.
Kazi yako ni kutoa hela hata kabla ya kuombwa. Kama huwezi bora usioe.
Si watafute hela zao kama zinapatikana kirahisi?
Yaani mmh kazi ipo.Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani unaombwa hela kidogo tu Kama sh laki 5 halafu unauliza ya kufanyia nini? Siku hiyo hiyo utaachwa. Kwani unadhani mkeo ni kichaa, anakuomba pasipo sabb?
2. Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa.
Yaani, mkeo ana shida zake halafu unanamwambia asubiri? Atasubirije wakati ana shida muda huu? Atakuacha kwa speed ya 4G
3. Mbona nimekupatia wiki iliopita tu?
Kwani mkeo ni mtoto mdogo mpk uulize swali hili? Utaachwa.
4. Hela ya mshahara/biashara yako umeweka wapi?
Ebo! Yaani unaulizia hela ya mkeo? Si umemuoa ili umtunze? Unajua maana ya kutunza? Mshahara ama biashara yake havikuhusu.
Kazi yako ni kutoa hela hata kabla ya kuombwa. Kama huwezi bora usioe.
Huna adabu we kijana!!
Hivi unadhani ki uhalisia, Nani anamhitaji mwanzake kuliko mwingine.??
Na kama utakuwa unajitolea tu pesa zako kila unapoombwa, basi wewe ni sawa na bendera ya chadema wewe haijulikani rangi moja inamaana gani??