Majibu manne ya wanaume kwa wake zao yanayovunja ndoa

Katika mahusiano na ndoa lazima kuwe na lango la kuingia na la kutokea na kila mmoja na funguo. Hakuna cha pingu!!!
 
Ungelikuwa karibu yangu ningelikunasa mabanzi yasiyo na idadi [emoji34][emoji34]
 
Labda kama mwanaume haujiamini, yote hayo uliyotaja hapo juu nauliza na hakuna kitu mwanamke anafanya, shida wanawake mnawaona kama mayai.

Yanu uniombe 500K nikupe bila kuuliza kwa kuogopa utavunja ndoa? Kamuombr baba yako kama ni rahisi.

Kwanza siwezi kuwa na mwanamke ambaye haongezi thamani yoyote kwenye maisha yangu, maana kama issue ni shimo alilo nalo ninaweza kulipata sehemu yoyote ile.
 
Boea tusioe tuu maana maziwa yenyewe yanapatikana...no need ya kufuga ng'ombe hizi
 
Samahani mkuu....
Hivi umeolewa..??
Namaanisha, una mume..??
 
Sahamani mbona umeandika kama mwanaume halafu tena umeandika neno Ebo kama shangingi fulani hivi.
 
Aiseeeee !!!!
 
Yaani mmh kazi ipo.
 
Mpaka CCM itoke madarakani kutakuwa na vichaa wengi sana.
Kuitaja CHADEMA ni ugumu wa maisha.
Tambi kutoka 1000-2000 siyo mchezo. Bado mafuta ya kupikia na bidhaa nyingine. Utaitaja sana CHADEMA
Hiyo laki 5 povu limekutoka hivyo, ukiombwa milioni si mpaka utamtukana Mbowe
Huna adabu we kijana!!

Hivi unadhani ki uhalisia, Nani anamhitaji mwanzake kuliko mwingine.??

Na kama utakuwa unajitolea tu pesa zako kila unapoombwa, basi wewe ni sawa na bendera ya chadema wewe haijulikani rangi moja inamaana gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…