Majibu manne ya wanaume kwa wake zao yanayovunja ndoa

Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi...
Sexless hujielewi. Point yako ya kwanza tu unaonekana BRAINLESS wala sio SEXLESS tu.

Eti unasema mke anakuomba hela ndogo tu (Laki 5)!! Kwa hiyo we kwa kuwa kipato chako kinakupa mtazamo wa laki tano kuwa hela ndogo unataka ionekane ndogo pia kwa kila mtu na unatoa conclusion kabisa?

Unajua kuna watu hata huo mshahara wa mwezi tu haufiki laki 5?

ACHA DHARAU WEWE!
 
Acheni kulalama, tafuteni hela zenu
 
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi...
We mwenyewe unaonekana una shida au una utoto, Africa hakiombwi kitu na kuoatikana kirahisi Kwa nyakati zote, acha kudanganya danganya watu, wanawake ndiyo wakati mgumu wa kupata ndoa Kwa wingu wao, sasa kumuacha mwanaume na akashika njia nyingine Kwa sababu ya neno Kwa sasa sina hela, subiri nikipata nitakupa. si atakua hajielewi
 
Mbona maswali ya kawaida hayo?

Kama mmeoana lazima kuulizana mwaswali kwa upendo na sio ku interrogate,

Alafu mnataka kufanya kwamba hawa wanawake wanapenda pesa to that extent?
 
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi....
Aende tu!bwashee,kwa usawa huu,hakuna kubembelezana,wapo wengi wanaotaka hii nafasi ya kuwa na njemba ndani
 
Kama hao ndio wanawake tulio nao karne hii basi ma single mother wataongezeka sana
 
Kitu cha msingi unatakiwa ujue ni unapaswa kuoa mwanamke anaeongeza thamani kwenye maisha yako...kama hana kinachoongeza thamani hakuna kuoa...
Umeongea point Sana Sana boss,Mungu azidi kukubariki
 
Nonsense

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Punguza kudanganywa na Movie mzee baba..
 
Mkuu kama ndio unaishi hvyo na mkeo, huyo mwanamke utakuwa ulikutana nae Bar.
 
Mwanamke badala ya kulea familia anaamua kuwa mtafutaji Kama Mine halafu usiulizie kipato chake kimeenda wapi? Ukiona hutaki kuhojiwa baki nyumbani kulea Watoto nimemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…