PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Achilia mbali kina msukuma ambao hakuna lamaana kichwani Mimi ninawasiwasi na uwezo wa prezdaa,mawaziri wakuu wote wawili na Baraza loote la mawaziri kiukweli sioni mtu competent kabisa,hakuna hata mmoja.
Tuna viongozi waoga sana(cowards) wanawaza kutumia polisi kuteka na kuua ili wabaki kwenyekiti.
Ukiwachallenge wanapanic na kuropoka ujinga hawana majibu ndomana wanakimbilia kuteka.
Elimu yetu inazidi kuharibiwa ninawasiwasi tuendako nigiza zaidi
 
.. sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha
 
..hivyo tu basi? unaakili za hovyo
 
Sasa kama umesema watu kupigania haki zao Haina uhusiano na usomi wao wanapata wapi haki ya kutudharau kama alivyosema huyo Jamaa yao.

Wazee wetu walipigana na mkoloni mwenye elimu na vifaa vya moto huko nyuma wao wakiwa hawana elimu wala vifaa,na mbona walifanikiwa.
 
Kwa upande wa Tanzania cha msingi ni mihimili ya nchi hasa (bunge na serikali) kuelewa when to quit exacerbating this nonsense (upuuzi unatosha).

Kama salamu tumeshatuma, Tanzania internal politic hatujitaji viherehere vya wanaharakati wa nje ya mipaka kujipendekeza.

Mpira upo kwa upande wa serikali ya Kenya. Kama wana akili timamu ni muda wa kuwakanya viherehere wao.

Kuingilia siasa za mataifa nchi jirani kunaweza leta unnecessary serious regional disintegration kwa upuuzi wa watu kama ‘Martha Karua’ is it worth it.

Kosa ni kosa tu, Martha Karua na genge lake wanavuka mipaka ambayo ni intolerable na serikali ya Kenya inajua walichofanya sio sahihi.

Shida yao ni kujiona waerevu sana (yes kuna upuuzi mwingi ambao both parties have done in between) toka sakata la Martha Kirua lichukue headline.

Lakini kumaliza huu, mzozo Kenya government has to own up wananchi wao wanashida (implying wanaharakati wao).

Also Kenya government doesn’t know how to control media narrative inayokuza ili sakata ambalo lilitakiwa kuwa lishazimwa by now, given the bigger picture of the union and long term objectives.

Surely genge la wahuni linalo ongozwa na ‘Martha Kirua’ aliwezi kuwa sababu ya kuturudisha nyuma katika long term objectives za EAC.
 
]

Mwaka 1977 sio mbali Sana alibidi awe na maono Mwl Nyerere

Na kuhusu Mbunge kuwa na sifa ya kusoma na kuandika alikosea kwakuwa bunge Kazi yake ni kuisimamia Serikali , kuandaa miswada , kujadili bajeti ya nchi .

Kwa kuangalia tu majukumu ya bunge , Mtu akiwa na Elimu ya kusoma na kuandika tu hawezi kujadili mambo kwa ufanisi kwakuwa uelewa wake wa mambo utakuwa sio mzuri Sana .

Ikiwa yeye mwenyewe Nyerere katika Serikali kufika 1977 alikuwa anafanya kazi na wasomi sasa ilikuaje akishindwa kusimamia hilo katika bunge.

Katika matawi matatu ya Serikali
Executive ambayo IPO chini ya Rais
Judiciary ambayo IPO chini ya jaji Mkuu
Parliament ambayo IPO chini ya speaker na deputy wake .


Ukitazama utaona bunge ndo linalink na wananchi na ndo linaamua mambo ya msingi ya nchi .

Bajeti ya nchi
Maendeleo - Ku allocate pesa za maendeleo
Kujadili sheria na kutunga za nchi
Kumuondoa waziri Mkuu

Sasa iweje sehemu muhimu Kama hii iwe na watu incompetent wasio na maadili.

Jibu ni kuwa Nyerere na sisiemu walifanya hivi ili kuondoa mosiguano na kuogopa kukosolewa kwakuwa MTU asiye na maarifa hawezi kukosoa in positive way au Constructive criticism.
 
Acha kuish in the past, hatupo kwa wazee wetu tupo sasa, sasa mmepigania nini? Kila sheria inayoletwa ni ndio mzee? Mlishawahi kupinga sheria kandamiz na mbovu kupitishwa?
Mlishawahi muadhib yoyote kwa ufisadi?
 
Mkuu wabunge unaowadharau kwa kutegemea hizi story za mitaani ndio usimamizi wao wa serikali unaowezesha SGR kuelekea mwishoni.

Ndio unaowezesha umeme kusambazwa nchi nzima hivi sasa. Usimamizi wa hao hao darasa la saba na form four ndio unaowezesha kusambazwa kwa bima za taifa na zinakaribia kumfikia kila mtanzania.

Ndio unaowezesha mapato ya bandari kuongezeka zaidi ya mara mbili muda huu, ndio hawa hawa wabunge wanaowezesha ujenzi wa viwanja vya ndege nchi nzima.

Na sio kweli kwamba anayoyasema CAG kuhusu wizi kwamba yana ukweli kwa asilimia 100, mengine huletwa na ukosefu wa elimu tulionao kitaifa tunashindwa kupata ufafanuzi wa maana halisi ya hizo hasara zinazoitwa hasara.

Wakenya wajinga tu, wanasumbuliwa na wivu pamoja na kule kujiona wao ni bora kuliko watanzania, dhana wanayozaliwa na kuikuta, ambayo ilianza na Mzee Kenyatta miaka ile ya 60 na 70.
 
Kama vile TZ HAIAGIZI CHOCHOTE KUTOKA KENYA...
CCM HOYE!
 
Shule muhimu wenzetu wapo vzr kichwani
Wanakariri maisha pia, hao wakenya wanaishi na kuchanganyikiwa kwa muda mrefu.

Ukienda Kenya ardhi yenye kufaa kwa matumizi ipo huku kusini kuelekea Nairobi lakini kule kaskazini kote kuelekea Somalia ni jangwa tupu.

Ubepari umeota mizizi Kenya, maskini wa huko ni maskini wa kutupwa na tajiri ni tajiri haswa.
 
Kwa miaka yote huo ndo mtaji wa viongozi wa CCM na Serikali yake, Kutotaka kukosolewa...,
 
nitajie mkoa wowote ambao wazee wetu walifanikiwa kumtoa mkoloni kwa rungu na manati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…